WADAU HABARI

WADAU HABARI

Joined
Jun 17, 2019
Posts
92
Reaction score
79
Wadau naombeni msaada
Nina simu yangu ya itel tachi

Simu yangu ikiwa haina salio la vocha au kifurushi nikipigiwa simu nakua sipatikani hewani kabisa angali simu iko ON hadi pale nitakapo eka salio ndio inapatikana mtu akini pigia.
Je nini tatizo na nitafanyaje liishe!
Ahsanteni
 
Wadau jaman mko wapiiiiii?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom