Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,184
Hii inanikumbusha kauli ya Dr. Kitila alipokuwa akisisitiza jambo (siku ya Kongamano la Wanafunzi - MAbibo) na kutamka neno 'zuzu'
Sikutarajia mtu mwenye hadhi ya Mtikila kuamini CCM na taasisi zake wanaweza kuongea jambo mtu mwenye akili sawasawa akaliamini.
Ni zuzu tu anaweza kuwaamini CCM na kauli zao
Mtikila hapo amechemsha.......kwa sababu hawa UVCCM bado hawajatambua ya kuwa kiini cha DOWANS ni ufisadi ambao JK anauendesha pale Ikulu..........................................kwa hiyo kauli yao inaficha maovu na kamwe haiwezi kuisafisha serikali wakati JK anendeleza kuigeuza Ikulu kuwa ni pango la mafisadi........................................
Majawabu ya ufisadi ambao JK anauendesha pale Ikulu ni raia wote kuingia mtaani kwa maandamano yasiyo na kikomo kama yale ya Tunisia kushinikiza JK aachie ngazi na asipofanya hivyo................................kulishinikiza Bunge limshtaki, limchunguze na hatimaye kumfukuza kazi..................................
Vinginevyo tutaendelea kutwangfa maji kwenye kinu tu.........................................na hata ukiwatoa akina Ngeleja na wengineo bado mzizi wa ufisadi ambao ni Jk mwenywe utaendelea kuzalisha wafanikishaji wengine wa ufisadi tu...........................na wala siyo vinginevyo.......................
Hii inanikumbusha kauli ya Dr. Kitila alipokuwa akisisitiza jambo (siku ya Kongamano la Wanafunzi - MAbibo) na kutamka neno 'zuzu'
Sikutarajia mtu mwenye hadhi ya Mtikila kuamini CCM na taasisi zake wanaweza kuongea jambo mtu mwenye akili sawasawa akaliamini.
Ni zuzu tu anaweza kuwaamini CCM na kauli zao
Hii inanikumbusha kauli ya Dr. Kitila alipokuwa akisisitiza jambo (siku ya Kongamano la Wanafunzi - MAbibo) na kutamka neno 'zuzu'
Sikutarajia mtu mwenye hadhi ya Mtikila kuamini CCM na taasisi zake wanaweza kuongea jambo mtu mwenye akili sawasawa akaliamini.
Ni zuzu tu anaweza kuwaamini CCM na kauli zao
UVCCM baba yao mmoja mama yao mmoja hapa mtikila kachemka
Watoto wa baba mmoja na mama mmoja si lazima wafanane tabia,UVCCM wametoa tamko la maana sana ingawa waliniuzi kile kipengele cha kumtukana Dr Slaa!!
Kula tano mzee!! Lakini kwa Dowans, kwa LIFO au FIFO hailipwi kitu hapa!!MI NADHANI KATIKA MALIO YA MADAI HAYA ITUMIKE FOMULA YA ...FIFO.....na sio LIFO bravo UVCCM NAUNGA MKONO HOJA YA UVCCM
Nkya alisema wao kama vijana wanaunga mkono tamko la wenzao, lakini wanamuomba Rais Jakaya Kikwete kuhakikisha anawachukulia hatua wanachama wenye kukiharibu chama na kutokitakia mema.
Alisema Chama cha Mapinduzi kwa sasa kina matatizo na ni kutokana na watu wachache wenye uelewa mdogo, wivu, tamaa pamoja na chuki binafsi zinazokipeleka chama kuonekana kibaya hususan kwa vijana wengi na hata wasomi.
lakini jamani si amepongeza UVCCM pale kwenye aya ya kutolipwa do once tu na si kwa tamko zima!!