Wadau changamkieni hapa....."exciting vacancies = plus finance ltd"

KAY GEE

Member
Oct 14, 2009
24
1
PLUS FINANCE LTD
EXCITING VACANCIES
A: BUSINESS CONSULTANT (1)
- First Degree or above with specialization in Business Administration.
- Able to demonstrate high capability in marketing of company services
- Capability in preparation of business plan and proposals
- Ability to make consultation to customers
- Ability to perform high volume works and meet deadlines
- High integrity and honesty
B: RELATIONSHIP &TRAINING OFFICER (1 post for female only)
- First Degree or above with specialization in Public relations, Marketing, Sociology or any related field.
- Able to make training need assessment.
- Ability in training design.
- Ability in training coordination.
- Able to demonstrate high capability in marketing of company services
- Good communication skill is recommended.
- Internet and email application is a must.
- Should have public relations skills

CONTACTS: Managing Director, P. O. Box 75779 DSM; 0712 066 064/0753 125 474
E-mail: plusfinancemd@gmail.com
DEADLINE: 4th May, 2011 at 3pm
 
We did not find any results for PLUS FINANCE LTD??? Jamani acheni kuvalia kiroba Unemployment. Hawa ndo watu gani wakuhitaji qualifications kama hizo,Kwani kuna enterprises za Kiswahili saana zinazoenda kwa majina ya macrofinance/microcredit nk yaani zinahitaji cl.:welcome:
 
mmmhh.. mkuu kuwa na kazi kisiwe kigezo cha kutoa komenti bila utafiti, kumbuka kuna njia nyingi za kusearch uwepo wa kitu, na hata hivyo kuna njia zenye upekee katika kukupa sababu na uwezo wa kukomenti, kwa mfano ungeweza kupiga simu kama sehemu ya utafiti ili kujua uhalisia, pili unaweza kunavigeti mpaka BRELA kuona uwepo na sababu za uwepo wake,"aidha unaweza kutumia company name search ya BRELA kujua" tatu kusearch kwa kutumia search injini(intaneti)-huku ukiwa na elimu hii :- si kila kitu utakipata kwa kutumia njia ya tatu kwa sababu nyingi ila baadhi ni hizi; kutopublish kwenye intanet kwa hiari ama kiufundi, upya wa biashara ama huduma, kukosea kunakotokana na kutumia keyword isiyo sahihi.... kuwa na busara kunajulikana kwa njia nyingi ila umakini katika kuamua na kufanya jambo ni sehemu kubwa!
 
mmmhh.. mkuu kuwa na kazi kisiwe kigezo cha kutoa komenti bila utafiti, kumbuka kuna njia nyingi za kusearch uwepo wa kitu, na hata hivyo kuna njia zenye upekee katika kukupa sababu na uwezo wa kukomenti, kwa mfano ungeweza kupiga simu kama sehemu ya utafiti ili kujua uhalisia, pili unaweza kunavigeti mpaka BRELA kuona uwepo na sababu za uwepo wake,"aidha unaweza kutumia company name search ya BRELA kujua" tatu kusearch kwa kutumia search injini(intaneti)-huku ukiwa na elimu hii :- si kila kitu utakipata kwa kutumia njia ya tatu kwa sababu nyingi ila baadhi ni hizi; kutopublish kwenye intanet kwa hiari ama kiufundi, upya wa biashara ama huduma, kukosea kunakotokana na kutumia keyword isiyo sahihi.... kuwa na busara kunajulikana kwa njia nyingi ila umakini katika kuamua na kufanya jambo ni sehemu kubwa![/QUOTE

Check RED. Hawa ndio ma great thinkers. Keep it up, coz watu kama hao wanaokurupuka tu bila ya hata kufanya in deep research huwa hawako makini hata kwa mambo yao muhimu ya maisha. Ni LAZIMA TUWE WASTAARABU KATIKA HILI. Tusikurupuke tu
 
We did not find any results for PLUS FINANCE LTD??? Jamani acheni kuvalia kiroba Unemployment. Hawa ndo watu gani wakuhitaji qualifications kama hizo,Kwani kuna enterprises za Kiswahili saana zinazoenda kwa majina ya macrofinance/microcredit nk yaani zinahitaji cl.:welcome:

Hii hapa chini kutoka Online company search tool ya BRELA... nawasilisha

Untitled.jpg
 
"To Me This makes sense"
mmmhh.. mkuu kuwa na kazi kisiwe kigezo cha kutoa komenti bila utafiti, kumbuka kuna njia nyingi za kusearch uwepo wa kitu, na hata hivyo kuna njia zenye upekee katika kukupa sababu na uwezo wa kukomenti, kwa mfano ungeweza kupiga simu kama sehemu ya utafiti ili kujua uhalisia, pili unaweza kunavigeti mpaka BRELA kuona uwepo na sababu za uwepo wake,"aidha unaweza kutumia company name search ya BRELA kujua" tatu kusearch kwa kutumia search injini(intaneti)-huku ukiwa na elimu hii :- si kila kitu utakipata kwa kutumia njia ya tatu kwa sababu nyingi ila baadhi ni hizi; kutopublish kwenye intanet kwa hiari ama kiufundi, upya wa biashara ama huduma, kukosea kunakotokana na kutumia keyword isiyo sahihi.... kuwa na busara kunajulikana kwa njia nyingi ila umakini katika kuamua na kufanya jambo ni sehemu kubwa!
 
We did not find any results for PLUS FINANCE LTD??? Jamani acheni kuvalia kiroba Unemployment. Hawa ndo watu gani wakuhitaji qualifications kama hizo,Kwani kuna enterprises za Kiswahili saana zinazoenda kwa majina ya macrofinance/microcredit nk yaani zinahitaji cl.:welcome:

jumlisha na za kwako kaka!!!
WENGINE WANASAKANYA CV ZA WATU HUMU NDANI WACOMPILE OOH!! KILA KITU JF + NA CHAKO =
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom