Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,943
- 1,252,154
Tena haya mafanikio tuliyonayo yalikuja kwa malalamiko tele kwamba wanapoteza pesa tu kwa miundo mbinu isiyo na maana. Baadhi ya watanzania hwa hawaridhiki kabisaaa
Hata la kwetu sio la kubeza mkuu.
View attachment 507461
View attachment 507462
View attachment 507463
View attachment 507465
View attachment 507467
Tujipongeze kwa hatua tuliyoanza.At the end of the day yote yana kazi moja tu kusaidia kuvukisha watu na vyombo vya usafiri. Mengine ni mbwembwe.