Wadanganyika hii ndio Kigamboni ya wajapan.....

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,809
34,193
HILI NDILO DARAJA LA KIGAMBONI LA JAPAN CHEZEA WEWE MJAPAN HATARI SANA

KINGAMBONI YA JAPAN.jpg


JAPAN KIGAMBONI.jpg


JAPAN KIGAMBONI 2.jpg



JAPAN KIGAMBONI 3.jpg



JAPAN KIGAMBONI 4.jpg
 
mtoa post umechanganyikiwa?
Afadhali ya mimi nipo nje ya Tanzania nime changanyikiwa kuona nchi za wenzetu zina maendeleo makubwa kuliko hata sisi Wadanganyika tupo nyuma kimaendeleo. Wewe Mwenzangu umechanganyikiwa na hali ngumu ya kimaisha ya huko nyumbani jinsi ilivyokuwa hali ni ngumu nyumbani bongo hata kula kwako ni kwa shida. Je Kati ya mimi niliyopo nje na wewe uliopo nyumbani ni nani kati yetu aliye changanyikiwa zaidi?
 

HILI NDILO DARAJA LA KIGAMBONI LA JAPAN CHEZEA WEWE MJAPAN HATARI SANA

View attachment 507429 View attachment 507430 View attachment 507431 View attachment 507432 View attachment 507433 View attachment 507434


WADANGANYIKA BADO TUPO NYUMA KIMAENDELEO
Basi sawa....shikamoo mjapani.
 
Afadhali ya mimi nipo nje ya Tanzania nimechanganyikiwa kuona nchi za wenzetu zina maendeleo makubw akuliko hata sisi Wadanganyika tupo nyuma kimaendeleo. Wewe umechanganyikiwa na hali ngumu ya kimaisha ya huko nyumbani jinsi ilivyo kuwa kwako hali ni ngumu hata kula kwako ni kwa shida. Kati ya mimi niliyopo nje na wewe uliopo nyumbani ni nani kati yetu aliye changanyikiwa zaidi?
Mkuu umeongea maneno makali sana.
 
Mkuu umeongea maneno makali sana.
Mkuu unajuwa kuna watu wengine wanazungumza maneno ya pumba inabidi umjibu ki pumba pumba.Mimi ninafananisha Maendeleo ya wenzetu na sisi kwanini tuwe nyuma? wakati nchi yetu ina utajiri wa madini ,gesi, Magadi soda dhahabu almasi,Tanzanite na mafuta yapo kwanini hatuna maendeleo? tupo masikini tu kila siku tunaishia kuomba misaada toka nje kwa wafadhili? Kwanini tusiwe na Madaraja mazuri makubwa, Mabarabara makubwa Mahospitali makubwa kwanini tunakuwa masikini? jibu unalo wewe mwenyewe.
 
Mkuu unajuwa kuna watu wengine wanazungumza manenpo ya pumba inabidi umjibu ki pumba pumba.Mimi ninafananisha Maendeleo ya wenzetu na sisi kwanini tuwe nyuma? wakati nchi yetu ina utajiri wa madini ,gesi, Magadi soda dhahabu almasi,Tanzanite na mafuta yapo kwanini hatuna maendeleo? tupo masikini tu kila siku tunaishia kuomba misaada toka nje kwa wafadhili? Kwanini tusiwe na Madaraja mazuri makubwa, Mabarabara makubwa Mahospitali makubwa kwanini tunakuwa masikini? jibu unalo wewe mwenyewe.
Wazungu wametuacha mbali Sana kwa kweli. Kama mtanzania mzalendo lazima uumie.
 

Attachments

  • VID-20170303-WA0012.mp4
    5.6 MB · Views: 61
Afadhali ya mimi nipo nje ya Tanzania nime changanyikiwa kuona nchi za wenzetu zina maendeleo makubwa kuliko hata sisi Wadanganyika tupo nyuma kimaendeleo. Wewe Mwenzangu umechanganyikiwa na hali ngumu ya kimaisha ya huko nyumbani jinsi ilivyokuwa hali ni ngumu nyumbani bongo hata kula kwako ni kwa shida. Je Kati ya mimi niliyopo nje na wewe uliopo nyumbani ni nani kati yetu aliye changanyikiwa zaidi?
 
Hongera Mkuu kama umefika mimi Ninatamani sana Serikali ya Mheshimiwa Rais Magufuli alijenge Daraja kama hilo.Toka Mjini Bagamoyo mpaka mjini Unguja ingelikuwa raha tupu na ufahari kwa nchi yetu ya Tanzania.
Sasa mkuu kwa Japan inavyokumbwa na Tsunamis mara kwa mara naona hapo barabara imeingia mpaka ndani baharini a sioni kama wameikinga na kitu chochote. Na miaka ya hivi karibuni tsunami kama mbili au tatu zilipiga.

Tuseme hizo barabara ni imara kiasi cha kuvumilia tsunami?

Au baada ya tsunami walizijenga upya?

Au tsunami zote zilizopiga zilikua mbali na hizo barabara?

Mfano siku tsunami ikisogea zilipo hizo barabara wana plan yoyote ambayo itatatua tatizo?

Haujaonyesha hizo barabara zipo maeneo gani ningegoogle ilia nijue majibu ya maswali yote hayo
 
Back
Top Bottom