el_magnefico
JF-Expert Member
- Nov 6, 2015
- 496
- 575
Sasa mbona lipo Japan au likikamilika watalileta bongo?
Wazungu wametuacha mbali kwa ujinga wetu kila kitu tuanacho na tunawazidi hata hao wazungu lakini kwanini hatuendelei? tujiulize hilo swali kwanini hatuna Maendeleo sisi Wa-Tanzania? Mafuta tunayo,gesi tunayo Madini tunayo Magadi Soda tunayo tuna utajiri Mkubwa lakini bado tupo Masikini kwanini?Tujiulize kwanini sisi tuwe Masikini? na hali hii ya Umasikini itatuishia lini?Wazungu wametuacha mbali Sana kwa kweli. Kama mtanzania mzalendo lazima uumie.
Wamejenga kisasa hata hiyo Tsunami ikipiga Daraja halita anguka linaweza kutingishika sio kuanguka. Wamejenga kwa utaalam wahali ya juu sana kwa ajili ya kuzuia hiyo mitetemeko ya ardhi wanajuwa kila wanacho kifanya.Sasa mkuu kwa Japan inavyokumbwa na Tsunamis mara kwa mara naona hapo barabara imeingia mpaka ndani baharini a sioni kama wameikinga na kitu chochote. Na miaka ya hivi karibuni tsunami kama mbili au tatu zilipiga.
Tuseme hizo barabara ni imara kiasi cha kuvumilia tsunami?
Au baada ya tsunami walizijenga upya?
Au tsunami zote zilizopiga zilikua mbali na hizo barabara?
Mfano siku tsunami ikisogea zilipo hizo barabara wana plan yoyote ambayo itatatua tatizo?
Haujaonyesha hizo barabara zipo maeneo gani ningegoogle ilia nijue majibu ya maswali yote hayo
Bado kabisa mupo nyuma kimaendeleo jitahidini sanaHata la kwetu sio la kubeza mkuu.
View attachment 507461
View attachment 507462
View attachment 507463
View attachment 507465
View attachment 507467
Tujipongeze kwa hatua tuliyoanza.At the end of the day yote yana kazi moja tu kusaidia kuvukisha watu na vyombo vya usafiri. Mengine ni mbwembwe.
Mtu akikuzidi akili, atakuzidi Karibia kila kitu. Sisi hatutakuja kuwapata kamwe. Tunaweza wasogelea tukiachana na dini zao na kurekebisha mfumo na content za elimu yetu.Wazungu wametuacha mbali kwa ujinga wetu kila kitu tuanacho na tunawazidi hata hao wazungu lakini kwanini hatuendelei? tujiulize hilo swali kwanini hatuna Maendeleo sisi Wa-Tanzania? Mafuta tunayo,gesi tunayo Madini tunayo Magadi Soda tunayo tuna utajiri Mkubwa lakini bado tupo Masikini kwanini?Tujiulize kwanini sisi tuwe Masikini? na hali hii ya Umasikini itatuishia lini?
Sawa MkenyaBado kabisa mupo nyuma kimaendeleo jitahidini sana
Mwaka gani labda ndio nilikuona siku moja wakati napaita hapo kushotoHiyo sehemu ni nzuri sana niliwahi kufika eneo hilo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Afadhali ya mimi nipo nje ya Tanzania nime changanyikiwa kuona nchi za wenzetu zina maendeleo makubwa kuliko hata sisi Wadanganyika tupo nyuma kimaendeleo. Wewe Mwenzangu umechanganyikiwa na hali ngumu ya kimaisha ya huko nyumbani jinsi ilivyokuwa hali ni ngumu nyumbani bongo hata kula kwako ni kwa shida. Je Kati ya mimi niliyopo nje na wewe uliopo nyumbani ni nani kati yetu aliye changanyikiwa zaidi?
amelogwa yeyemtoa post umechanganyikiwa?
lol kwa kweli umepigilia msumari wa moto kwenye kidonda, asante maana hali ya huku nyumbani haisemwiAfadhali ya mimi nipo nje ya Tanzania nime changanyikiwa kuona nchi za wenzetu zina maendeleo makubwa kuliko hata sisi Wadanganyika tupo nyuma kimaendeleo. Wewe Mwenzangu umechanganyikiwa na hali ngumu ya kimaisha ya huko nyumbani jinsi ilivyokuwa hali ni ngumu nyumbani bongo hata kula kwako ni kwa shida. Je Kati ya mimi niliyopo nje na wewe uliopo nyumbani ni nani kati yetu aliye changanyikiwa zaidi?