Pole rafiki ngoja wakatulishe ugali huko segerea waongeze hasara..!Mi natamani kweli kulipa mkopo wao ila ajira sina ntalipa na nini? Hapo hapo wameniwekea tena riba.
Asante rafiki. Mi nawaombea watukumbuke kwenye ajira tuweze kulipa mikopo yetu na wadogo zetu nao wasome.Pole rafiki ngoja wakatulishe ugali huko segerea waongeze hasara..!
Inauma sana watu hatuna ajira wala hatujui lini tutaajiliwa tunaishi kwa nguvu za mola afu eti wanatuwekea na riba..
Mkuu hapa ndipo ulipo haribu, THIS CAN NEVER HAPPEN! Kwa kifupi jua hamna tozo linatokea bila ruhusa ya huyu jamaa, na kama limetokea jua amebariki 2000% tena inawezekana alivyo na roho mbaya alitaka iwe hata 30% badala ya hiyo 15% sema washauri wake wakamtuliza....3. JPM mtoto wa mkulima na mtetezi wa wanyonge. Washugulikie hawa LOAN BOARD. Wameiba hela. Kufidia hela walizo kwapua. Hutoza maskini riba za ajabu ajabu. Mhe: Rais futa aina zote za Riba. Vijana warejeshe walicho kopa tu. Ikumbukwe serikali ina wajibu wa kutoa incentive ktk Elimu (Riba na Retention).
Ha ha ha haMkuu hapa ndipo ulipo haribu, THIS CAN NEVER HAPPEN! Kwa kifupi jua hamna tozo linatokea bila ruhusa ya huyu jamaa, na kama limetokea jua amebariki 2000% tena inawezekana alivyo na roho mbaya alitaka iwe hata 30% badala ya hiyo 15% sema washauri wake wakamtuliza....
Pole sana!Yaani unapata bahati ya kukopa Milioni 20 halafu unalipa 27M tena ndani ya kipindi cha miaka 10 halafu huyu bado unalia lia?Umepata bahati ya kuwezeshwa kupata shahada ya kwanza,halafu anakuja na hoja za kitoto hivi na watu wanashangilia?Hivi hamjui Leo mtumishi akikopa 10M benki analipa zaidi ya 20 Kwa miaka mitano?Dawa ya deni ni kulipa,hoja zinazotolewa ni dhaifu sana zinaonesha hata elimu aliyonayo ni dhaifu kiasi gani!Hukopeshwi ili uendelee kupalilia umaskini bali uondokane nao ili uweze kulipa deni!Such a brilliant argument ever happened
Pole sana mkuu, Uzalendo katika nchi nyingi za kiafrika ni tabu tupu, viongozi hudhani wananchi tutakuwa wazalendo kwa kuambiwa "kuweni wazalendo" kumbe kuna mambo yanayotendeka ambayo pengine kwao ni madogo lakini hutuvunja moyo sana, UZALENDO mmmh.Mimi hawa Loan board nimewazilia mshahara wakate mpaka waache kuaashwa 1: wenzangu tuliokuwa grade sawa (40%) na cozi sawa wanadaiwa ,mimi nimeandikiwa 21m nimeenda mara nyingi dar kurekebisha wananiahidi tayari wamerekebisha lkn bado deni liko palepale.SITOKUJA KUWA MZALENDO KATIKA HII NCHI HADI NAIMGIA KABULINI NIKIPATA UPENYO NIKUINYOOSHA SERIKALI TU KWA KUIIBIA NO WAY OUT!!!!
Duh...
Mkuu huyo Jamaa anaishije!!?
Hujui hata unacho kiandika. Riba ya Benki ni 19%, ukikopa Tshs 15m, mfano in 3 yrs riba ni kama 4M. Sasa ww Elimu zako za kijinga uwe unadanganya wajinga wenzio huko. HESLB, mtu kapewa Tshs 7m, deni ni Tshs 18m kivipi?Pole sana!Yaani unapata bahati ya kukopa Milioni 20 halafu unalipa 27M tena ndani ya kipindi cha miaka 10 halafu huyu bado unalia lia?Umepata bahati ya kuwezeshwa kupata shahada ya kwanza,halafu anakuja na hoja za kitoto hivi na watu wanashangilia?Hivi hamjui Leo mtumishi akikopa 10M benki analipa zaidi ya 20 Kwa miaka mitano?Dawa ya deni ni kulipa,hoja zinazotolewa ni dhaifu sana zinaonesha hata elimu aliyonayo ni dhaifu kiasi gani!Hukopeshwi ili uendelee kupalilia umaskini bali uondokane nao ili uweze kulipa deni!
poa mkuu. wakitupandisha maaraja nitamaliza within 2 yrs. walinidaka june 2017. limebaki deni la miaka mitatu hata mshahara usipobadilika. sina presha ingawa tumeonewa kutumia sheria hii mpya wakati nilimaliza chuo 2006Hongera mkuu
una mpango wa kuzilipa hizo pesa mkuu?Mi niliambiwa ni scholarship na hata huko nilipokua nasoma niliwekwa kwenye Kundi la Tanzania Government scholarship.
Nimepewa statement board ya mikopo Ina hela ya research na vitu kibao ambavyo sijawahi Fanya. Wananidai million 80.
mtu anapokopa mkopo lazima awe na kitu kama dhamana ya kupata ule mkopo, watu wanaweka hati za nyumba, wengine hati za viwanja, sasa kwa sisi sijui dhamana yetu ilikuwa ni nini, sijui ni kuja kufungwa jela au ni cheti nilichokipata baada ya kusomeshwa na hiyo pesa!, kama kama ambavyo nyumba na viwanja hupigwa minada waje wachukue Cheti chao maana hata sina kazi nacho tena kama ni segerea basi nasubiri karandinga.Ha ha ha ha
Yani HESLB wanatukata 15%. Huu ni uhuni wa hali ya juu. Ila kuhusu jpm kutusaidia, Sidhani kwa sababu nasikia yeye ndio aliwaambia wapandishe kutoka 7% mpaka hii ya SAA hizi 15%.
Sentensi yako ingelikuwa sahihi kama bodi wasingeongeza retention fee (uthaminishaji wa hela mtu aliyokopa kwa wakati uliopo)...Lkn 15% maana yake unawahi kumaliza deni
Kikubwa lipa denijifunze kuelewa hoja wewe ......wanachokisema watu kwa nini sheria inarudishwa nyuma kinyume na utaratibu, kwa nini baadhi ya mashariti waliyaficha na wanayaibua sasa hivi?