Zooxathellae
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 323
- 278
Copy niliyojaza nilibaki nayo...yaan HESLB ni wezi kabisaaa... How can i pay something out of agreement??Si wanasema watapeleka watu mahakamani!! Huko huko kitaeleweka vzr tu.
Nakuiomba Mahakama itengue hizo riba zote na 15%.
Cha mhimu wadau tupate zile form
Akiba iko wap dada watu wanalia na kusaga meno enzi hizimiaka ijayo hii mikopo haitakuwepo. wekeeni akiba watoto wenu
Mkuu ebu jitahidi ufiche jina lako. Ila kama ni scan jitahidi hata kesho u scan au upige picha utumie ili tupambane nao kwani ushaidi ni Form tu kwa ajili ya ku refer Masharti tulio wekeana.Copy niliyojaza nilibaki nayo...yaan HESLB ni wezi kabisaaa... How can i pay something out of agreement??
nenda mahakamani, nyie watu mnashindwa kuji orgnise mkatafuta aki yenu.Wengi wanaoshangilia ndo hao std 7 hawaelewi lolote tunavyolalamika tunaambiwa hatupendi kulipa.mimi mkataba wangu ilikuwa nikatwe 8% sasa nashangaa 15% huu ni uhuni unaofanywa na serikali dhidi ya raia wake
Sijui hizo calculation zao wanatumia formula gani hadi deni liwe kubwa hivyo.Ha ha ha ha.....
Sikilizia Invoice, Tshs 21m!!!!
Pole naona hujanipata. Ukisoma hoja zaSasa hapo umejibu hoja gani?
zero siyo zehro mwishimiwaWewe ni zehro