mheshimiwamtemi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 291
- 218
Leo nahitaji kuongea na wadada. Tunajua kuwa faragha yenye huba na mahaba ni uwanja maalumu kwa wawili waliopenda na kukubaliana.
Faragha uhusisha hatua tatu kimsingi ili kila mmoja afaidi na kuridhika penzi la mwenzi wake
1. Kabla ya tendo: Hapa wawili wrote wanapaswa kushiriki kikamilifu na leo sitoongelea sana
2. Wakati wa tendo: Uwanja huwa na michezo ya kila aina. Hata hivyo sio sehemu ya hoja yangu leo.
3: Baada ya tendo: Hapa ndipo hasaaa pamenisukuma kuweka uzi huu... Kimsingi baada ya tendo kila mmoja anapaswa kutambua kuwa mapenzi na huba hayajaisha.
Pamoja na mengine mengi myakayofanya chondechonde ewe Dada Kumbuka kufanya usafi.
Kwanza msafishe mwenzako vizuri kisha jisafishe ikiwezekana kwa majisafi au kitambaa kisafi. Wadada wengi mnasahau hili hali inayopelekea mwanaume wako kukosa hamu ya kurudia tena na tena..