Wadada what so special kwa qeen elizabeth lotion?

Wadada what so special kwa qeen elizabeth lotion?

haichubui??????? ila inangarisha which is wrong

ile inatoa ngozi taratiiibu hivyo unajichubua taratibuuu subir matokeo baada ya miaka kadhaa

nakupinga kwani kusinga mwili kwa karanga au machicha ya nazi unajichubua mbona unang'aa.
 
hapana aichubui ina kupa mg'ao unaitakiwa kuea nao mi ni chocolate colour na nilikua napaka mafuta ya samona na sasa napaka pamoja na hiyo.iko vizuri ata paja linawaka kama uso.sio mwanamke paja au mgongo umesinyaa.but no kuchubua labda fake sjui.

sawa endelea kutumia mimi situmii kemikali yoyote lakini nina mwili lain,na unangaa siangaiki na mafuta mamiii
 
Kuna fake na original yake...watu wanapigwa hela tu.original ilikuja zaman.now fake zimejaa.mastaa wanapeana soko hasa nagris!
 
sawa endelea kutumia mimi situmii kemikali yoyote lakini nina mwili lain,na unangaa siangaiki na mafuta mamiii

Wewe waambie ukweli wenzio yale mafuta ya mkia wa kondoo wanayopaka wamaasai wanakuwa soft acha uchoyo lol.
 
yaani Niko dilema aisee.sijui nitest kopo moja nitest?
 
nunua olive oil ngozi inakua nzuri sanaaa unapaka kila mahali aiseee hadi ukijishika unahisi raha
haina kemikali yoyote hata kuinywa waweza

Yaallah! kwa idhini yako naomba kuona hata bega.
 
Wewe waambie ukweli wenzio yale mafuta ya mkia wa kondoo wanayopaka wamaasai wanakuwa soft acha uchoyo lol.

hahaha tatizo hayajawekwa harufu hizi za viwandani
ukiyapaka unanikukia kama mchoma nyama lol
 
Kufeli kwa Mbowe kwako wewe kudos? My grandmother!! Huoni hilo baraza lenu la mawaziri, wabunge wakuu wa mikoa wote wamegushi vyeti? Sembuse na kufeli? Kwani Tanzania inaongozwa na watu waliopasi? Mwinyi alipasi mtihani gani; njiwa wewe?

hahah barabara ya 6
 
hapana aichubui ina kupa mg'ao unaitakiwa kuea nao mi ni chocolate colour na nilikua napaka mafuta ya samona na sasa napaka pamoja na hiyo.iko vizuri ata paja linawaka kama uso.sio mwanamke paja au mgongo umesinyaa.but no kuchubua labda fake sjui.
Dah., hiyo kali
 
Huyo atakuwa kenge wa jangwani, kuna kenge ziwa victoria ngozi zinameremeta, kama bado uko mwanza tembelea bwiru girls ziwani utawaona kibao.

Mkuu hata huku ninakoishi wap, kuna nyumba moja nimewahi kuishi maza hausi alikuwa anafuga kenge mkubwajeee??
 
hii lotion kiboko nimeanza kupaka hata wiki haijaisha nimeanza kung'ara Kama nini cjui.nimekua msweaty balaa.yaan inakupa mng'ao wa kuvutia tofauti na mng'ao wa kujichubua yaani MTU unakua na rangi moja mwili mzima.
 
nunua olive oil ngozi inakua nzuri sanaaa unapaka kila mahali aiseee hadi ukijishika unahisi raha
haina kemikali yoyote hata kuinywa waweza

Mami unazungumzia olive oil gani..more detail plzz
 
Back
Top Bottom