Wadada wenye tabia hizi nawachulia kama Sociopaths

Wadada wenye tabia hizi nawachulia kama Sociopaths

We jamaa shida yako mbunye au hayo mambo mengine? Mie binafsi demu kama anatoa mbususu kwa wakati hayo mengine atajua mwenyewe, kikubwa nabadili mipango tu kama nilitaka awe main chick namtafutia main chick anabaki wa pre match.
 
Kuna namna mwanamke naongea na wewe hadi unafeel Mommy Bear huyu hapa. Lazima unenepe na unawili mwili, mwanamke anayekutreate kama last born huwa ni mwanamke wa pekee sana.
Dude, nafikiri mpaka hapa utakuwa umeshaelewa kati ya mwanaume na mwanamke ni nani anayehitaji zaidi ndoa au mahusiano kuliko mwenzie, sasa wanaume endeleeni kushindana na hawa wanawake wa leo mkidhani mnawakomoa kumbe ni ninyi wenyewe ndio mnaoumia
 
We jamaa shida yako mbunye au hayo mambo mengine? Mie binafsi demu kama anatoa mbususu kwa wakati hayo mengine atajua mwenyewe, kikubwa nabadili mipango tu kama nilitaka awe main chick namtafutia main chick anabaki wa pre match.
Mbususu kwanza, kama anatoa utelezi tutatoshana kikubwa mwanaume unatakiwa uwe smart asikuzidi ujanja.
 
Sociopath ni mwendawazimu au mtu asiye na utimamu wa akili yake kufanya kazi sawa sawa kutokana na kuathiriwa na changamoto za kimaisha kama stress, ugumu wa Maisha, madeni, malezi mabovu na kadhalika.

Kuna hawa wadada eneo la mahusiano wanatabia zifuatazo mimi huwa nawaona kama sio timamu kichwani na nikiona hizi tabia huwa najiweka mbali nao maana najua huyu sio mzima kichwani so hakuna la maana tutaweza kufanya pamoja ukitoa kupelekeana moto.

1. Mwanamke ambaye anakwambia yeye muda wote anawaza pesa. Utasikia "yaani nisipokuwa na pesa natamani kupiga kelele nachanganyikiwa, mimi napenda sana pesa". Nikiona tu hizi kauli najua hapa hazijatimia huyu anaweza lala hata na baba yako au rafiki yako kupata anachotaka.

2. Mwanamke ambaye analalamika kuwa haumtafuti ila cha ajabu yeye pia hakutafuti. Mtu ambaye analalamika kufanyiwa kile ambacho anamfanyia mwenzake tafsiri yake ni kuwa amekosa uwezo wa kujitathimini so utendaji wa akili yake haupo kamili.

3. Kuna wale wanawake ukikaa nae muda wote yeye ni kukuonyesha kuwa hana amani anatakiwa kufanyiwa jambo ili ajisikie vizuri kama kutolewa out, kununuliwa zawadi na mbaya zaidi anachotaka yeye ni material things bora hata atake labda kukumbatiwa au kupelekewa moto ila sivyo.

4. Mwanamke ambaye akikasirika au mkipishana hatazami kauli zake sawa sawa. Anaropoka muda mwingine kauli ambazo baadae ukimuuliza kwann ulisema hiki anasema ilikuwa ni hasira sikumaanisha. Huyu sio mzima kichwani.

5. Mwanamke ambaye mkipishana kidogo anakublock au anapenda kususa au hapendi kujadili anawahi kukatisha mjadala huku akijua wazi mna misunderstanding. Mfano umetumiwa sms yenye utata au kuna mdada amekuona nae au simu ilizima chaji usiku akakutafuta asikupate then ukataka kujielezea kumpa ufafanuzi yeye anakukatisha huku kafura na kukuonyesha anachokiamini ndicho ukweli sio unachotaka mwambia. Na akikaa na rafiki yake, au ndugu zake au mama yake anarudia kile kile anachokijua badala ya kusikiliza upande wako ili kubalance story. Mimi kwangu huyu ni mwendawazimu hayupo timamu.

6. Mwanamke ambaye hampo pamoja kinyumba, mkipishana akaenda kulala bila kuhakikisha amekubembeleza au kukutuliza moyo kwa kauli ili kuonyesha anakujali na hataki ulale ukiwa unasononeka au umekwazika au unahasira. Huyu mwanamke muombee hata ugumba maana si shetani kama wewe mume wake mtarajiwa hajui kujali hisia zako huyu hana utu watoto atawapa vipi upendo wa mama? Care ya mama inaanza kwa mume, then watoto ndio itazidi, ni kama baba ambaye ameshindwa mtunza mke ataweza tunza familia ya mama na watoto wake?

7. Mwanamke ambaye anaweza soma sms yako halafu akapiga kimya ila ukimtumia ujumbe kumuonyesha kuna zawadi au pesa au kitu unataka mpa anarespond bila kupoteza sekunde, huyu anaweza kuwa hata ameshatoa mimba ya miezi 4, sababu mtu timamu hawezi mkalia kimya mtu anayesubiria kujibiwa sms upande wa pili, huyu ni sociopath.

8. Mwanamke ambaye kutoa mimba na ujauzito kwa visingizio kama iliingia bahati mbaya, kumkomoa mwanaume, kulinda ndoa, na sababu yoyote ile, mtu anaye amua kuua kiumbe ambacho kimejiumba ndani ya mji wake wa uzazi yaani damu yake, huyu anaweza kuja kukuua siku akitaka kitu kwako kama mali au akiwekewa dau la kukuua apewe pesa hashindwi. Huyu ni sociopath na mkalie mbali.

9. Mwanamke ambaye kila ukiongea nae anakuletea story za shida na unaona kabisa huyu anazitengeza muda mwingine ila anachofanya ni maintain aina ya mawasiliano ambayo ukiongea nae iwe ni kama baba anaongea na binti yake ili amwambie shida zake tu na sio kuongea mambo ya msingi. Yaani yeye hajali unacho au hauna ila ni mkiwasiliana tu anaanza kukuelezea matatizo mara anaumwa, mara simu mbovu, mara mama anaumwa, mara nadaiwa. Yaani hawezi hata kukujulia hali na kutaka kufahamu kama upo salama au unachangamoto gani ni yeye na shida zake kwanza na ukimtatulia anapiga kimya hakuna shukrani wala nini. Huyu ni mwendawazimu.

10. Mwanamke ambaye haogopi kuonekana au kushobokewa na wanaume wengine mbele ya mwanaume wake. Anafurahia kushobokewa na hapati ile sympathy au remorse kuwa mpenzi wangu ataumia au atajiskia dhaifu au ataniona kama sijamuweka juu ya wanaume wote. Huyu sio mzima kichwani ana matatizo ya akili.

11. Mwanamke ambaye mwanaume wake akiwa na changamoto za kiuchumi ila huwa siku zote anampa sapoti yeye ila siku kadhaa za kukwama mwanamke anasimamia msimamo kuwa mwanaume anatakiwa apambane na hampi ile comfort na care ya kumpa nguvu mpya ile feeling ya "i got you boo, don't worry mommy is here for you, you will get back when you are strong". Ukiona mwanamke hana hii anakuchenjia ukiwa vibaya kwa kisingizio kuwa wewe ni kidume, haraka sana sogea mbali huyu sio mzima ni mwendawazimu.

12. Mwanamke ambaye analingana na yule wa namba 10 pale ila afikie hadi hatua ya kuwa na sexual intercourse na wanaume kwa usiri huku akimuenjoy mwanaume aliyenae bila kuwazia nini kitatokea siku akigundua. Huyu ni sociopath tena anaweza kuwa ni zaidi ya sociopath anaweza kuwa ni psychopath.

Tabia ni nyingi ila nimeweka hizi chache for the sake of noticing them na najua wanaume wengi hawa mshakutana nao au kuna wadada wanajua wapo na hizi tabia. Go and seek therapy.
Ngoja ninywe chai ntarudi...
 
Kwa mtazamo huo karibu basi hutampata mwanamke hata mmoja maana hizo hapo n general ya tabia nyingi za binadamu inaweza kuwa zote au chache au hata robo tu ..bado itakuwa imeingia kwa ulicho mention hapo..so labda aje mwanamke wa kimalaika.. hakuna mkamilifu kwa binadamu awe mwanamke au mwanaume ..tunachopaswa n kuangalia mazuri yenu na mabaya yenu kama mataweza kuvumiliana ..Basi ila alinyooka itabidi uombe special order na kwa vile atakuwa special order ataweza kukuvumilia wewe pia maana nawe unayo mapungufu yako.
 
Sasa mbona wanawake wote wako hivyo

Kuna mwamba alishasema humu ndani kuwa ukitumia akili Sana kamwe huwezi kupata mke wa kuoa..

Vigezo vyako kwa hapa Bongo hakuna.
Sababu ya kuandika huu uzi ni bandiko nimeliona mtandaoni linasema kuna uwezekano kuwa wanawake wa sasa wanaviashiria vya uwendawazimu yaani ni wagonjwa wanaoishi kama watu wazima wasio na shida ya kiakili.
 
Madini gani hayo makristu na maislam.
Watu wenye mitizamo ya hivi, ngumu sana kuishi nanyie, mna malalamiko lawama kila kitu lawama yani hata kama kosa lako unae wa kumlaumu
Sasa hebu nambie kuwa kama nilichoandika hapo ni uongo, ukweli ni upi? Au pengine haujachunguza so unapingana na uhalisia.

Mbona wanaume na wanawake wengi wanakiri kuwa ninachosema hapo ni kweli.
 
Dude, nafikiri mpaka hapa utakuwa umeshaelewa kati ya mwanaume na mwanamke ni nani anayehitaji zaidi ndoa au mahusiano kuliko mwenzie, sasa wanaume endeleeni kushindana na hawa wanawake wa leo mkidhani mnawakomoa kumbe ni ninyi wenyewe ndio mnaoumia
Hiyo sio sababu ya sisi kutaka ndoa ila ni moja ya kitu tunatarajia kwenye ndoa. Kwamba tukikosa hiyo ndio tutaacha kuishi.

Hiyo inaitwa comfort ya mke, wanawake nao wanaitafuta kama hiyo kwa mwanaume na inaitwa Daddy care kama unabisha chunguza.

Ndoa ni two way street hakuna anayemhitaji mwenzake zaidi na hakuna ambaye hamuhitaji mwenzake hata kidogo.

Don't be entitled kiasi hicho.
 
Kwa mtazamo huo karibu basi hutampata mwanamke hata mmoja maana hizo hapo n general ya tabia nyingi za binadamu inaweza kuwa zote au chache au hata robo tu ..bado itakuwa imeingia kwa ulicho mention hapo..so labda aje mwanamke wa kimalaika.. hakuna mkamilifu kwa binadamu awe mwanamke au mwanaume ..tunachopaswa n kuangalia mazuri yenu na mabaya yenu kama mataweza kuvumiliana ..Basi ila alinyooka itabidi uombe special order na kwa vile atakuwa special order ataweza kukuvumilia wewe pia maana nawe unayo mapungufu yako.
Mbona wapo ambazo hizi tabia wanazidhibiti. Huwa nashangaa mtu anapotetea tabia za hovyo.
 
Hiyo sio sababu ya sisi kutaka ndoa ila ni moja ya kitu tunatarajia kwenye ndoa. Kwamba tukikosa hiyo ndio tutaacha kuishi.

Hiyo inaitwa comfort ya mke, wanawake nao wanaitafuta kama hiyo kwa mwanaume na inaitwa Daddy care kama unabisha chunguza.

Ndoa ni two way street hakuna anayemhitaji mwenzake zaidi na hakuna ambaye hamuhitaji mwenzake hata kidogo.

Don't be entitled kiasi hicho.
Mkuu hiyo daddy care siku hizi mbona ni kama wanawake wameshaikatia tamaa maana wameshaaminishwa kwamba hayo ni mapenzi ya kihindi na kikorea, na kwamba africa watasubiri sana kupata wanaume wa kuwapa hiyo care hasa hawa vijana wa rika lao, wenyewe huwa mnadai haiwezekani mwanaume akutafutie pesa akuhudumie na bado awe romantic na akupe care

So wanawake ni kama wameamua kutafuta furaha kwa watu wengine mfano watoto, wazazi, ndugu au jamaa na vitu vingine mfano kazi au biashara lakini wanaume bado furaha yenu iko centred around women, yani mnategemea muipate toka kwa wanawake tu unaweza kuta mwanaume ana kazi au biashara nzuri ana marafiki na washkaji wengi tu ila hana furaha kwa sababu tu anaona kama mke wake hamtreat vizuri, ninyi ndio huwa mnapenda zaidi zile kauli kama "pole na uchovu wa kazi mume wangu" au "karibu chakula mpenzi wangu" na romantic gestures kama hizo

Tena wenyewe huwa mnakiri kwamba hivyo vitu vidogo vidogo ndio vinamkeep mwanaume asipovipata ni either atakusaliti au atakuacha, ambapo bado ataenda kuvitafuta kwa kiumbe yule yule mwanamke lakini jiulize ni wanawake wangapi wanasaliti au wanaacha waume zao eti kisa hawapewi hiyo care, kinachowafanya wanawake wahitaji ndoa ni ile mentality waliyojengewa na jamii kwamba mwanamke asipoolewa anaonekana malaya, kwahiyo huwa wanaogopa tu wasipoolewa jamii itawaonaje ila tukija kisaikolojia wanaume ndio wanahitaji zaidi ndoa, kwa sababu ya kupenda sana care kama hizo ambazo ni ngumu kuzipata kwa kununua tu malaya bila kuwa na stable relationship or marriage
 
Back
Top Bottom