Wadada wengi wanajiuza kijanja janja

Vitoto vya 2000 Nina vikafua vizuri tu ila sema vina UTI Sugu hatari
 
Shida ni kwamba hata aliyewaumba.kawaumba kwa ajili ya kupewa TU
 
Haya ndio mambo ambayo wana sisiem wanayaweza ukiondoa wizi wa kura.
 
Paulo na Hasila?
 
Wakaka wengi mnawanunua kijanja ili wake zenu wasijue,,hakuna biashara bila wateja.
 
Wanaume ndio wanafanya wanawake waweze kujiuza.

Kanuni za uchumi za demand and supply zinasema bei hupatikana pale demand and supply zinapokutana.

Maana yake wanaume wakiacha kutumia pesa kwenye mapenzi, hao wanawake hawawezi kuendelea kujiuza.
 
Wanawake wenzangu kama tulivyokubaliana......heri kuonekana unajiuza kulikoni kuliwa bure kizembe.
 
Ila Wanawake bhana sio wanajiuza tu ila Wanapenda kujaribu radha mbalimbali za Wanaume
 
Kama umejua wanajiuza, anza kuwanunua.

Kumiliki Dem ni gharama kuliko kusoti Malaya.

Utelezi na UTI zao ni zilezile
 
Wanaume ndio wanafanya wanawake waweze kujiuza.

Kanuni za uchumi za demand and supply zinasema bei hupatikana pale demand and supply zinapokutana.

Maana yake wanaume wakiacha kutumia pesa kwenye mapenzi, hao wanawake hawawezi kuendelea kujiuza.
😄 bila pesa si hawatotoa sasa

Ova
 
Maisha ni Biashara, Kila Kitu ni Biashara, unapofanya uwekezaji ni lazima ujue unawekeza wapi.

Mapenzi au mahusiano hii pia ni Biashara ingawa watu watanipinga ila tuliza akili utaelewa kua nayo ni Biashara.

Mtu anapokuja kwako kuanzisha mahusiano anakuja kimkakati akitazama Faida atakazo zipata kwako, maana wewe ndo Fulsa yenyewe.
Mwanaume unapomuitaji mwanamke lazima atafanya tathimini ya kutazama matakwa yake, ktk kumtimizia mahitaji yake na Faida atakazo zipata kwa Mwanaume.

Kuna aiana mbili za Biashara ya Mapenzi au Uhusiano.
Direct Sales
In Direct sales
Watu walio Wengi wapo ktk kundi la pili Wanawake Wengi wanafanya mapenzi kama biashara indirect kwa kigezo Cha Kuhudumiwa, yaani anakua na price tag kimya kimya, utakua unampa pesa, au mahitaji yake mpaka ufikie Target yake ya kiwango cha pesa ambacho amejiwekea ndiyo atakubali kufanya mapenzi na wewe.

Wanaume sisi ndio wateja wa kununua wanawake,ingawa mtu ukimwambia kua unanunua mwanamke atakataa kwa kua yeye hanunui direct kama wafanyavyo wengine.
Mtu anakuambia kuwa na mtongoza mwanamke ndo nakuja kuanae, hata kama umetongoza Jua umefika price tag ndiyo maana akakubali.

Kununua Kwa indirect n unakua unacheza kamali, upate au ukose, ndo apo panaitwa kuchunwa maana pesa utatoa na hauoni ndani haupewi zaidi ya kupigwa kalenda.

Wanunuaji wa Direct Hawa wanafahamika, Wanawake wanaojiuza wapo Sehemu nyingi sana, mtu anaenda anatoa pesa anapata huduma, kulingana na makubaliano yao.
Pia wapo ambayo wao hawajipangi bara barani ila wanauza kupitia mitandao ya kijamii( Social network) Hawa nao mnaelewana mnafanya yenu kwa makubaliano yenu.

Kiuhalisia Kila Kitu ni Biashara, Biashara ya Kujifunza au mwanaume kununua Ngono kwa Hapa Tanzania ni kinyume Cha Sheria, ila hii Biashara ipo kimya kimya, ni Heri ingepewa uhalali Ili Kila mtu afanye kwa uhuru, unauza na kununua Maisha yanaenda.

Kila Biashara Kuna kuzurumiana au Utapeli , Hii Biashara ya Ngono/ Mahusiano pia utapeli upo ndani yake.
Kuna Faida na Hasara za kununua Direct na indrect.
Katika hii Biashara ya Mahusiano/ Ngono.
 
Kuna watu wataumia na kubisha ila wake zao wengi wapo kimaslahi sasa ole wako huo uchumi ushuke kama hajakukimbia,huyo unayemuita wa ubavu wako hutoamini atachokufanyia, ndiyo maana wale wasiojua hii indirect sales wanaishia kuua na kujiua,au kuishi Kwa stress
 
Kufikilia nje ya Box ndo shida yetu watu weusi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…