shabanmbarak
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 1,178
- 1,151
Hivyo vimchele mwambie avikusanye vifike tani 10 navitaka sana 😂Jamaa yangu alikuja kwangu akilalamika na kuniambia “Unamkumbuka Jessy yule mwanamke niliyekuambia,aisee ni mwanamke wa ajabu Sana Kati ya wanawake wote niliowahi date nao yeye ni WA tofauti sana”
Nikamuuliza WA tofauti ana nini Cha tofauti??Akaanza kusema “Kati ya wanawake wote niliowahi kutana nao kwenye SITA Kwa SITA huyo nashangaa muda wa mzagamuano hatokwi na vimchele chele vyeupe atakuwa wa ajabu”
Nilichokuja kugundua jamaa kakutana na Wanawake wengi ambao hawajisafishi vizuri maeneo husika kiasi kwamba ameona ni hali ya kawaida.
Nipende tu kusema wanawake wajitahidi kujisafisha.
Kuna nyimbo Johmakini aliimbaNa wewe jisafishe hiyo lidudu lako usimpe shida mkeo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Utoko sasa ndio utamu wa uchi ila vijana wa siku hizi ndio maana kuishi na wanawake hamuwezi. Mmekaa legelege sanaaKuelewa uchafu wa wanawake labda ila sio kuelewa wanawake. Wanawake tunawaelewa vizuri tu wengi wetu.
Mficha uchi hazai.Kuna muda kukaa kimya inasaidia kuficha ujinga wako.
Bado maharage [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe kuna michele na hamsemi kha[emoji23]
Nimekuelewa hata Mimi nimewahi kukutana navyo kwa demu wangu msafi ninayemuaminiJamaa yako anaongelea utoko.huo humtoka mwanamke yeyote na sio ugonjwa.na hii huwatokea ambao hawafanyi mapenzi Kwa mda mrefu.
Viko kama vichembechembe vya mtindi havina harufu mbaya.ni asili ya uke.
Kuna wakati wanawake hukumbana navyo kama mabadiliko mwilini ndiposa hutakuwa kujisafisha na kidole kupunguza.
Na Kuna wakati huuoni kabisa ila ukifanya mapenzi unaanza kutoka japo kidogo sana.hiyo ni dalili huyo hajafanya Kwa mda mrefu.
Na Kuna hao Sasa unaowatokaa Kwa awamu Fulani Kwa wingi wasipojisafisha wakikutana na mwanaume anaweza ingiza akitoa mashine inakuwa nyeupee kama imepakwa maziwa ya mtindi.sio sawa.
Na Kuna wengine ni wagonjwa mfano candidiasis,maambukizi mengineyo.hawa huwa baadhi Wana harufu pia kuwashwa.
Wanaume mna safari ndefu kuwaelewa wanawake!
Mimi ikitokea nimepewa mamilioni niandike ujinga kama uliouandika,siandiki.Tafakari.Jamaa yangu alikuja kwangu akilalamika na kuniambia “Unamkumbuka Jessy yule mwanamke niliyekuambia,aisee ni mwanamke wa ajabu Sana Kati ya wanawake wote niliowahi date nao yeye ni WA tofauti sana”
Nikamuuliza WA tofauti ana nini Cha tofauti??Akaanza kusema “Kati ya wanawake wote niliowahi kutana nao kwenye SITA Kwa SITA huyo nashangaa muda wa mzagamuano hatokwi na vimchele chele vyeupe atakuwa wa ajabu”
Nilichokuja kugundua jamaa kakutana na Wanawake wengi ambao hawajisafishi vizuri maeneo husika kiasi kwamba ameona ni hali ya kawaida.
Nipende tu kusema wanawake wajitahidi kujisafisha.
Maji ya mchele yanakua km ujiuji mweupe mweupe hivi ule unaokutoka ukiwa umezidiwa mpaka unachafua chupi, yeye ndio hua anauona sasa kakutana na mti mkavu hautoi maji macho yamemtoka imekuaje?Michele tena, ebu mtuache bana😃
Kumbe kunako 6*6 kuna Mambo ya Michele tena love??
Ndiyo maana aweke video...Kumbe kunako 6*6 kuna Mambo ya Michele tena love??
Hatari sana
Huwezi Kuta mauchafu Kwa watu wazima hata siku Moja ila hivyo vidada vyenu ni madampo.Jamaa yangu alikuja kwangu akilalamika na kuniambia “Unamkumbuka Jessy yule mwanamke niliyekuambia,aisee ni mwanamke wa ajabu Sana Kati ya wanawake wote niliowahi date nao yeye ni WA tofauti sana”
Nikamuuliza WA tofauti ana nini Cha tofauti??Akaanza kusema “Kati ya wanawake wote niliowahi kutana nao kwenye SITA Kwa SITA huyo nashangaa muda wa mzagamuano hatokwi na vimchele chele vyeupe atakuwa wa ajabu”
Nilichokuja kugundua jamaa kakutana na Wanawake wengi ambao hawajisafishi vizuri maeneo husika kiasi kwamba ameona ni hali ya kawaida.
Nipende tu kusema wanawake wajitahidi kujisafisha.
Huendi mbinguni smart 😊Ndiyo maana aweke video...
Unavoni refer kama umeshawahi kuuona huo ujiuji nikiwa nimezidiwa , ungesema tu general unahisi usingeeleweka ?ushawahi kuuona uji wangu nikiwa nimezidiwa? Kukosa adabu huko muone....Maji ya mchele yanakua km ujiuji mweupe mweupe hivi ule unaokutoka ukiwa umezidiwa mpaka unachafua chupi, yeye ndio hua anauona sasa kakutana na mti mkavu hautoi maji macho yamemtoka imekuaje?