Wadada wengi hawajisafishi

Hao wengi unataka kuvumbua nini? Watu kama nyie ndo mna matatizo
 
Dr. Vipi kuhusu kutumia lactomate feminine wash?🙂
Feminine wash yeyote pasipokuzingatia brand, ni mbadala wa sabuni.

Kwamba sabuni ni kali sana kupaoshea huko kwa bibi. Hivyo wakatengeneza hizo feminine wash.

Ambapo nazo zina kemikali vile vile. Matumizi yake yanaondoa uasili wa bakteria rafiki ukeni. Japo matumizi ya mara moja moja si mbaya. Si kwa matumizi ya kila leo.

Maji masafi yanatosha kabisa. Labda kama mhusika kaenda kukitombesha huko, basi kamwagiwa mishahawa tele. Anaweza kurudi akatumia hiyo feminine wash mara moja kwa siku mbili labda.

Ukijizoesha kutumia hayo makemikali (hata watakazosema 100% chemical free), lazima tu utaharibu. Maji yanatosha kabisa. Kama hayatoshi kunafuta kufunda, basi unaumwa. Tafuta tiba.
 
Inategemea na aina ya wanawake mnao date nao aisee binafsi i never experienced this. Mwanamke mchafu anaonekana tu kwa nje, matendo, kujipenda etc....unategemea nn mwanamke unaona kbs lastick ya chupi chafu..... mashanga machafu....
 
Jamaa yako anaongelea utoko.huo humtoka mwanamke yeyote na sio ugonjwa.na hii huwatokea ambao hawafanyi mapenzi Kwa mda mrefu.
Viko kama vichembechembe vya mtindi havina harufu mbaya.ni asili ya uke.
Kuna wakati wanawake hukumbana navyo kama mabadiliko mwilini ndiposa hutakuwa kujisafisha na kidole kupunguza.
Na Kuna wakati huuoni kabisa ila ukifanya mapenzi unaanza kutoka japo kidogo sana.hiyo ni dalili huyo hajafanya Kwa mda mrefu.
Na Kuna hao Sasa unaowatokaa Kwa awamu Fulani Kwa wingi wasipojisafisha wakikutana na mwanaume anaweza ingiza akitoa mashine inakuwa nyeupee kama imepakwa maziwa ya mtindi.sio sawa.
Na Kuna wengine ni wagonjwa mfano candidiasis,maambukizi mengineyo.hawa huwa baadhi Wana harufu pia kuwashwa.


Wanaume mna safari ndefu kuwaelewa wanawake!
 
Asante
 
Eeeeh new knowledge
 
Katika comments zote ,wewe ndio umeongea ukweli kabisa huwenda huyo kijana nimgeni na nyapu.
 
Umetisha dyadya mwenye glass zake...helpful indeed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…