Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,862
Wananguvu nyingi za kiume 😎.Tajiri hasalimii.
Unakuta mtoto mkaliii halafu anatoka na mhuni yuko rafu rafu, mchafu kufuwa kipengele, kuoga hadi mvua imnyeshee, ananuka vumba saa ingine masigara bwege yanapita humo humo.
Halafu watu wa maana kama mimi Tajiri Sina BAYA tunaenda kutupa ndoano anatema.
Hivi huwa mna nini nyie wadada wa hivyo?
Wananguvu nyingi za kiume 😎.
Hapo labda kwa sababu wewe ni tajiri unawaonesha madharau.Sasa wanatukataa sisi watu wamaana wanajuaje kwamba hatuna nguvu nyingi?
OK... naanza mgomo wa kimya kimya juu ya 25 situpi ndoano.Ujana tu, wakifa 28s wanaanza kutupenda sisi tusiovuta bangi
Hapana mkuu, kuna mmoja aliwahi kunilengeshea nilishangaa sana. ilinisikitisha karibu machozi yanitoke, alikuwa ni mtu wangu wa karibu na sikufikiria kama anafanya huo mchezo.Unaweza kula tigo
😂😂😂 Labda, lakini ngoja tusubiri shuhuda za watu wengine.Hapo labda kwa sababu wewe ni tajiri unawaonesha madharau.
Wanakuwa wamepagawa na deliboloz....linawafikisha vizuri.Tajiri hasalimii.
Unakuta mtoto mkaliii halafu anatoka na mhuni yuko rafu rafu, mchafu kufuwa kipengele, kuoga hadi mvua imnyeshee, ananuka vumba saa ingine masigara bwege yanapita humo humo.
Halafu watu wa maana kama mimi Tajiri Sina BAYA tunaenda kutupa ndoano anatema.
Hivi huwa mna nini nyie wadada wa hivyo?
Wanakuwa wamepagawa na deliboloz....linawafikisha vizuri.
Anya mazoezi ya kutombering uwe mkali kwenye mechi
No.. masikini ndio miongoni mwa hao vijana wanaong'oa hizo pisi, inatafakarisha kwa kweli.Kama tajiri analia watoto wazuri hawamtaki je maskin watasemajeee 🤔🤔
Johannesburg kwa sasa.Unateseka na mapenzi ukiwa wapi?