REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,608
- 9,811
Kwanza niombe radhi kwa yoyote ambaye uzi huu utamgusa moja kwa moja kwani lengo langu si kumsema mtu bali nikusema mambo ambayo yanatokea katika maisha yetu ya kila siku tunayaona ndio maana imebidi niandike ili tubadilishane mawazo.
Hii hasa kwa wadada ambao ni watumishi haijalishi mtumishi wa umma au sekta binafsi ambao hawajaolewa na ambao kwa bahati Mungu aliwasaidia wakazaa ila hawana ndoa wanaishi na watoto wao bila baba zao.
Kiukweli hakuna kundi linaloteseka kimahusiano kama hili kundi na sababu inayowafanya wateseke kwa mtazamo wangu ni kuwa wengi si wa kweli.
Kutokuwa kwao wakweli basi wengi ujikuta wanangukia pua na kujilamu mwishowe hujikuta mapenzi yanawapotezea furaha ya maisha kwani ule uongo alioongopea awali hujakujizihilisha wazi ni uongo mbele ya watu aliokuwa nao kila siku hivyo huona aibu
Uongo wao ni nini ipo hivi wengi hawa wadada hasa ambao hawana ndoa kipindi anaanza kazi wengi wao umri huwa bado cause ndio kwanza wengi huwa wametoka shule so ubinti bado upo na kwakua wengi wao huwa wanaenda fanyia kazi miji ambayo si wenyeji basi huwa wapo peke yao yao hivyo basi pale ofisini au nje ya ofisi anaweza kukuta vijana wa kiume ambao hawajaoa.
Kwaiyo binti anapokuwa anatongozwa na hawa vijana ambao nao wanaanza maisha mabinti wengi huwa hawaelewi wengi hudanganya oooh na mtu wangu yupo sijui wapi wapi mda unaenda miaka inakatika binti yupo tu kwakua umri si rafiki wale vijana aliowakataa anapata wenzi wananzisha familia yule binti yupo tu na drama zake mara na mchumba sijui nini nini at the end unamuona dada ana mimba ukiwambia tuonyeshe shemeji ataki ooh shemeji yenu yupo mbali kizazi mtamjua siku zinaenda mala anazaa mara mtoto anaanza shule baba wa mtoto hajui.
Siku zinaenda unasikia yule dada anaropoka ooh wanaume waongo sijui mimi sasa naolewa na yoyote yule kwakua wale vijana alioanza nao kazi washaoa wapo bize na familia zao hawamtilii manani tena.
Mwisho wa siku unatembelea JF unakuta kajilipua umu anatafuta mume na yupo serious kweli
My take
Dada zangu acheni drama drama zenu kuweni wawazi maisha mazuri yanatengenezwa huyo huyo unayemuona hapo hana kitu unamdharau na kuona huwezi fanya naye maisha na kutaka mwenye maisha unajidanganya wanaume wengi waliofanikiwa maisha ukiwaona asilimia 99 wanafamilia zao.
Kwaiyo usivunge jilipue na uyo uyo hapo acha mbwebwe za chuo za nyumbani acha mawazo ya gari nzuri nyumba nzuri bila msoto komaa na uyo uyo hapo muanze mipango ya kuwa ni nyumba nzuri gari nzuri pesa bank nk pia familia nzuri.
Badilikeni acheni mbwebwe