princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,687
- 19,357
duuh mimi maji nayaogopa mno [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
mimi nilijua kukaa pembezoni kivutia wateja
mimi nilijua kukaa pembezoni kivutia wateja
Ungekubali hata hivoduuh mimi maji nayaogopa mno [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
mimi nilijua kukaa pembezoni kivutia wateja
No princess...ila wor outduuh mimi maji nayaogopa mno [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
mimi nilijua kukaa pembezoni kivutia wateja
Usipate shida ngoja nikuiitie mabaharia wa kike wajeKuna project ya swimming kwa akina dada wanahitajika...
Sifa: Usiwe na mwili mkubwa I mean mnene...
Awe pia hajazaa...
Malipo: 55k per day...
Kutoka unatoka saa 11 jioni.
Idadi: 3
Karibu pm.
nahisi ni ujenzi wa swimming pool tehe tehe tehe tehesijakuelewa kabisa
hio swiming hebu dadavua
wanatakiwa waka swim au kufundisha watu kuswim au nini
[emoji16][emoji16]nahisi ni ujenzi wa swimming pool tehe tehe tehe tehe
[emoji16][emoji16]Usipate shida ngoja nikuiitie mabaharia wa kike waje
tehe tehe tehe teheUsipate shida ngoja nikuiitie mabaharia wa kike waje
ahahaaa njoo pm wallah nitaogelea hata uchiWakaribie queen...miss natafuta nataman uwepo
[emoji28][emoji28]ahahaaa njoo pm wallah nitaogelea hata uchi
lolest mmasai ni bora aliwe na simba kuliko aingie kwenye maji akaliwa na samakiduuh mimi maji nayaogopa mno [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]mimi nilijua kukaa pembezoni kivutia wateja
shosti umeona liproject hilo?[emoji28][emoji28]
ivi kumbe wewe ni mnene [emoji20] [emoji20]shosti umeona liproject hilo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ahahaaa njoo pm wallah nitaogelea hata uchi
Are u masai lin ??lolest mmasai ni bora aliwe na simba kuliko aingie kwenye maji akaliwa na samaki
ila mimi mnene toa hilo sharti pls[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahhh nimeliona mm lkn kashapatikana mtushosti umeona liproject hilo?
whaaaat ? nimechelewa wapi jamani mbona hukuniita mapema?Hahahhh nimeliona mm lkn kashapatikana mtu
Kilichonifanya nisikuite apo kwenye unene nikakumbuka we ni mnene ila mm ingenifaa mm kipotabo sema ndo hivyo kuswim kwenywe muoga ntaweza ogesha watto [emoji28][emoji28]whaaaat ? nimechelewa wapi jamani mbona hukuniita mapema?
Duuuh dear hilo ndo wamelikolezea na mstari kabisa.ila mimi mnene toa hilo sharti pls