BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,345
Wakaribie queen...miss natafuta nataman uwepoMiss chagga
Miss natafuta
Lady AJ
Evelyn salt
Hii inawafaa
Kufundisha watoto wadogo....sijakuelewa kabisa
hio swiming hebu dadavua
wanatakiwa waka swim au kufundisha watu kuswim au nini
Kufundisha watotoAisee kazi kweli kweli sasa hiyo kazi kutwa ni kuswim tu?
Nimefafanua hapo juu shunieElf 55 kwa siku eb fafanua kwanza inakuaje
Sasa wanahitajika kufundisha watu au hao wadada kwa ajili ya kuswim tuNimefafanua hapo juu shunie
Kufundisha watoto shunie !!Sasa wanahitajika kufundisha watu au hao wadada kwa ajili ya kuswim tu
Ooh nimekuelewa mm kuswim kwenywe sijui itakua kufundisha watto nisije nikawazamisha ngoja wajeKufundisha watoto shunie !!
Oooh too bad najua kuswim ila sina vigezo[emoji25]Kufundisha watoto
Haya majina tu unaweza kuona wana unene wa kufa mtu.Miss chagga
Miss natafuta
Lady AJ
Evelyn salt
Hii inawafaa
Nenda tu utajua huko huko.Elf 55 kwa siku eb fafanua kwanza inakuaje
Lazma uulize ujue kwanza sio kwenda tu sbbu hela nyingiNenda tu utajua huko huko.
Ooh pole honeyOooh too bad najua kuswim ila sina vigezo[emoji25]
Wory out shunieOoh nimekuelewa mm kuswim kwenywe sijui itakua kufundisha watto nisije nikawazamisha ngoja waje