Wadada watatu wanahitajika kwa Swimming Project

Wadada watatu wanahitajika kwa Swimming Project

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,342
Kuna project ya swimming kwa akina dada wanahitajika...

Sifa: Usiwe na mwili mkubwa I mean mnene...
Awe pia hajazaa...
Malipo: 55k per day...
Kutoka unatoka saa 11 jioni.
Idadi: 3

Karibu pm.
 
Elf 55 kwa siku eb fafanua kwanza inakuaje
 
Nimetoa maelezo ya kutosha wapendwa..maelezo.ya kina ndo mana nkasema uje PM if uko interested...ila bahat mbaya hamna eliekuja so nkawa nimepata mahal kwingine...ila msijal next time ntawashirkkisha tena mana ni project hua inafanyika mara kwa mara ..na ilikua wanaitajika immeadiately
 
Back
Top Bottom