Wadada wakali JamiiForums

usawa wa kulia

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2014
Posts
454
Reaction score
154
1.masai dada, yani huyu kweli ni ndito hasa ana uzuri wa ajabu sidhani jina lake linaendana na sura
2..evelyn salt hata huyu dada ni mkali ile mbaya we acha tu
3..kaka jambazi
 
Labda, lakini ujue kuwa wakibadilisha avatar ukali utakuwa ndio mwisho! Na huenda wengine wakabadilika kuwa wanaume kwa hiyo jiandae kwa lolote,lol!!!
 
1.masai dada, yani huyu kweli ni ndito hasa ana uzuri wa ajabu sidhani jina lake linaendana na sura
2..evelyn salt hata huyu dada ni mkali ile mbaya we acha tu
3..kaka jambazi

Huyo # 3, nae jinsia yake ni Ke?
 
Mkuu naona una masihara na kaka jambazi, au mshawahi kutana nje ya keybord zenu na kuhakikisha kuwa ni KE?

Pili, huwa hatu"judge" uzuri wa kitabu kwa kuangalia kava lake

1.masai dada, yani huyu kweli ni ndito hasa ana uzuri wa ajabu sidhani jina lake linaendana na sura
2..evelyn salt hata huyu dada ni mkali ile mbaya we acha tu
3..kaka jambazi
 
1.masai dada, yani huyu kweli ni ndito hasa ana uzuri wa ajabu sidhani jina lake linaendana na sura
2..evelyn salt hata huyu dada ni mkali ile mbaya we acha tu
3..kaka jambazi

Huyu masaidada ni mrembo haswaaaa
 
Last edited by a moderator:
huyu KakaJambazi unamchokoza eeh.....

mie siyo mzuri bali nina sura mtu akiniona anajua ni mwanamke.....haimpi shida kujua jinsia yangu......

ndio huo uzuri tunaosema..alafu inaelekea una jicho la kukonyeza ww...
 
Last edited by a moderator:
huyu KakaJambazi unamchokoza eeh.....

mie siyo mzuri bali nina sura mtu akiniona anajua ni mwanamke.....haimpi shida kujua jinsia yangu......

ndio huo uzuri tunaosema..alafu inaelekea una jicho la kukonyeza ww...hebu mwamshe masai dada mwambie awahi kazini...CC masai dada
 
Last edited by a moderator:
Mtu leo anapigwa sound kwa nguvu, na hapa najua umeshampata. Utatusimulia yatakayojili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…