Wadada wa vyuo wana mapenzi ya ukweli?

Wadada wa vyuo wana mapenzi ya ukweli?

Thubutu, kipindi hicho nilimpata mmoja ambaye mpaka third year walikuwa wanammendea,ila kwangu alonitafuta mwenyewe!
Si nikaona kama nimeokota dhahabu chini ya kimbweta!
Sijui ata nilimkoseaga nini ila nilikija kushuhudia picha wako na Jamaa bitch huko!
Niliumia sana
Pole sana mkuu
 
Mm nina Mdogo wangu, yupo mwaka wa pili hata boy friend hana, na ni Urembo haswa lakin hataki mahusiano chuoni.
Wanawake waaminifu wapo sna, ila kumpata sasa .........
Atanifaa sana huyo
 
Unaweza kupata..bado wapo ila mm nawaogopa cjui kwann?
 
Jamani mambo mengine ni kumkufuru Mungu, sasa mtoto azaliwe akifungua macho mama ni yule granny
Nimecheka sana ila kisimu changu kimeisha chaji. Tukutane kesho baada ya kukichaji unajua huku kwetu umeme wa mgao
 
Mm nina Mdogo wangu, yupo mwaka wa pili hata boy friend hana, na ni Urembo haswa lakin hataki mahusiano chuoni.
Wanawake waaminifu wapo sna, ila kumpata sasa .........
Asilimia kubwa hao wasio na boyfriends huwa ni mabingwa wa one-night stands balaa. Laiti kama wazazi/walezi wangekuwa wanasogea na kuyaona maisha halisi ya binti zao vyuoni, hakika wengi wangestopisha kusomesha watoto wa kike...
 
Hahahah ni hatari mkuu
 
We ukienda kawalambe tu papuch idadi yoyote, bado mdogo sana kuanza kutafuta waminifu mwisho utarudi umesalitiwa hapa jukwaani, zingatia ushauri we kawanyoshe mambo ya ndoa ukifikisha 30 ndo uanzage kuwaza
 
Asilimia kubwa hao wasio na boyfriends huwa ni mabingwa wa one-night stands balaa. Laiti kama wazazi/walezi wangekuwa wanasogea na kuyaona maisha halisi ya binti zao vyuoni, hakika wengi wangestopisha kusomesha watoto wa kike...
Wala siyo wote hayo ni mawazo yako tuu...
 
Ndugu yangu,mm nilihtimu Degree ya kwanza mwaka jana mwezi December so maisha ya chuo nayajua kuliko Professor anavyoyajua.Ukienda chuo usijihusishe na wanawake wa chuo na ukishindwa tafuta mwanamke wa mtaani kwaajili ya kukidhi mahtaji ya kisaikolojia na ukishindwa kabisa the lastly choice nenda ukanunue Malaya kwa kuwa huwa wanapatkana kwa urahic sehem za town ukizingatia kwa Tanzania hakuna chuo kikuu kilichojengwa kijijini,enjoy the beautifully life of University.
Mkuu nimekusoma Sana, Ngoja nikiingia chuo mwezi wa kumi sitaki mahusiano, ila nikijisikia nabatua Malaya tu (no love no stress)
 
Wapo wengi, Chaguo lako tu ndilo litakalokuokoa au kukupoteza.
 
Subiri matokeo ya mtihani wako wa kulimaliza form six uliyoufanya juzi yatoke. Naona unaanza kujipanga na maisha ya Chuo Kikuu
Ameanza mapema kuuandaa moyo wake
hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha
 
Habari wana jf.. Ningependa kuuliza swali hili kama title ya uzi inavojieleza?
Je vyuoni uko naweza nikapata mdada ambae tunaweza kuwa na uhusiano wa kimapenz wenye kuwa na kujengana na kuendelezana kimaisha
?
Tupo njoo tu
 
Back
Top Bottom