IFMHhahah mkuu upo chuo gan
Habari wana jf.. Ningependa kuuliza swali hili kama title ya uzi inavojieleza?
Je vyuoni uko naweza nikapata mdada ambae tunaweza kuwa na uhusiano wa kimapenz wenye kuwa na kujengana na kuendelezana kimaisha?
Pole sana mkuuThubutu, kipindi hicho nilimpata mmoja ambaye mpaka third year walikuwa wanammendea,ila kwangu alonitafuta mwenyewe!
Si nikaona kama nimeokota dhahabu chini ya kimbweta!
Sijui ata nilimkoseaga nini ila nilikija kushuhudia picha wako na Jamaa bitch huko!
Niliumia sana
Why mkuuMtu akishakuwaga chuo ni Shida.
Hata Kama ni mke wa mtu.