Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,672
- 167,738
Mimi hua naogopa maana tunaeza ishia Kudo mwishowe nibak nalia tu. Ndo maana hua wakija ivo name natambua lengo lao before so Evelyn salt Mimi kwetu ndo naangaliwa sana nahofia nicje harbu ndoto za wadogo zangu bana. even though sjapata was ivo ambae ni mashalaa ad nimwone was ukwelii no hao wa kawaida tu na sio was kunifanya niwalove back.
Aaah we acha hizo, kama ni ngoma unaweza kuipata hata kwa huyo ulimtokea wewe tena mwaka mzima kakuzungusha, unamuaminiiii na ngoma atakuletea haya mambo hayatabiriki msituchululie negative hata sie tuna hisia na nyege pia....
Merry Christmas karibu tulewe nipo sinza hapa