Wadada wa massage sio watu wazuri kabisa

Hahahaaa hapo mnara sasa🙌🙌🤠

Sasa ukute mdada chini amevaa kisket solo kifupiiii na ndani hamna kitu mchizi anaona mzigo wote huu hapa🙌🙌

Massage Sio salama Kabisa asee
Fahari ya macho, hawanaga noma kushikwa shikwa...
 
Nije PM nikuelekeze barbershop yangu kuna demu huyo wa message nilimtoa Katesh kipindi cha maporomoko ya matope. Kuna vijana wanafanya massage mara tatu kwa wiki maana nimeweka bei elekezi. Hilo toto liko sex Marehemu Masogange anasubiri na anakitombesha balaa

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Hahahaha kwahyo ulikwenda uokozi ukaamu kumleta barbershop Kuja kuuzuguawwatu

VIP ulimpima ukimwi?
 
Sasa umeenda kunyoa ukijua fika kuna wanawake hapo kwa ajili ya biashara, kwanini lisiwe tatizo lako na sio lao?
Kama naamua kwenda kunyoa naenda kunyoa akimaliza akisema kaoshe naondoka tu sipendi ujinga mimi

Kila sehemu unaenda kwa sababu zake
Ndicho huwa Ninacho fanya Kaka, Sina haha ya kuoshwa kichwa
👉Tena nalipa kabla ya kunyoa, so sitaki distraction
 
Kijana wa makamo yupo kwenye kundi la mtu mzima. Hilo neno makamo haliondoi utu uzima wake. Katika maisha kuna watoto na watu wazima ila unaweza kujiambia chochote ili kujifariji kuwa bado ni mdogo ndo mambo ya umakamo yanaingia.
Mkuu watu wazima ni wajaluo na wahaya, sisi wakurya ni watu kamili
 
Nilishaacha maokoto ya kodi Kwa hawa wadada, Sinza hapo hapo ila saloon siitaji, nilijikuta nimepunguza 150k kutoka kwenye hela ya kodi na walivyo wezi anakwambia ntakupa namba yangu ukitaka niwe nakuja kukufanyia massage kwako

Tangu siku hiyo, naenda kunyoa na 30k tu mfukoni
 
Mimi kama kijana mdogo wa miaka 29 maana uzee uanza 45 years, napenda kupendeza sana na uhandsome wa mwanaume ni kunyoa.

Story inaanza nimeamka Jumamosi flani mapema nikaenda jumuiya na nikafanya majukumu binafsi, Nikaamua niende Sinza kunyoa sitataja saluni kuingia nikanyoa fresh.

Sasa kusubiri black ikauke kuna zile pisi kali za kuosha nywele toto white flani rangi ya mtume yaani cream ebony delavida mnaelewa nafikiri zimekaa kitaalamu.

Nikaingia kwenye zile room sasa wakati naoshwa nywele wakaanza kutekenya masikio nikasikia hutaki massage 50,000 tu tunamaliza kila kitu.

Kwa kweli wanajua kupandisha ashki za mwanaume na ukiwa legelege unaacha mtaji, cha kushukuru niliacha simu nyumbani nilikuwa na 20k tu.

Kusema ukweli hawa watu ni hatari, wana njia zote za kuiba hela yako wakati wanakuosha wanakuwa wamevaa blouse no brazia kwahiyo mtindi unaona wote so hauwezi kutoka salama na wana lipa kwa simu, mastercard yaani wapo kitaalamu Sinza ni hatari nyie.

Selemani sele.
Kijana mstaarabu.
Toba!
'Washakubikili Masikio'? Kama bado niambie nikuelekeze chimbo, utaifuata simu mwenyewe ili uwalipe na kukopa juu ili uendelee kula 'laha lohoni':D
 
Kilikukuta nn?
Yaani wale watoto sijui wanatumia saikolojia ila duuh! Walikuwa wananikanda kiasi kwamba huwezi kuacha kwenda! Watoto huku nje nilikuwa nawaona kama wajinga tu! Ila nikizama zangu Mikocheni huko nakutana na watoto safi sana!
 
Ila hao usipokuwa na maamuzi ya kujidhibiti unafanya balaa zito kweli.

Salon moja niliingia. Sasa wakati naoshwa nywele yule dada alinifanyia makusudi kabisa!

Halafu alivyokuwa hana aibu akaniita mimi ni mchumba wake. Anafuta nywele zangu kwa taulo karibia na mabega ananibinya binya.

Nikajisemea moyoni aaah wapi hunipati!


Eti aah wapi, hakupati....ipo siku yako utapatikana tu kwsbb wale hawawazi na hawana aibu, hawana cha kupoteza

Wewe unajali ndoa...wao hawana habari wapo mawindoni
 
Back
Top Bottom