Wadada wa ku-scrub nyuso salun za kiume

kivyako

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
14,341
12,045
Uwa najiuliza hawa wadada wanaoscrub nyuso za vidume na kushika ndevu uwa hawapati hisia zozote?
 
Haswaa! tunaenda kupunguza uzee, mvi kichwani, then mascrub
 
Uwa najiuliza hawa wadada wanaoscrub nyuso za vidume na kushika ndevu uwa hawapati hisia zozote?

kati ya sikio na kile kipamba cha kuchokonolea sikio (cotton bud) kipi kinahisi raha?
 
Wale madada noma, ndio wapo kazn...lakn kiukwel sometimes sna hamu nao!Wana visa ile mbaya yaan...

Anyway, sku hz nmewajulia, huwa naenda na mrembo wangu pembeni..wote wnatia heshima na adabu!
 
Back
Top Bottom