Lakini; Wachagga (wadada) hawajui mapenzi.
Wadau wengi wanasema wadada wa kichaga ni malembukeni kwenye mapenzi, ni waoga, ukiwa nao chumbani utadhani unaamrisha kikosi jeshini, sio wabunifu wa vionjo vya mapenzi... Yani unaweza kuingia chumbani na mwanamke mchaga kwa lengo la malavidavi, gafla anaanza kukuambia "yani aisee haya mashuka yalivyo mazuri ungeyatembeza kule kibosho kuuza utapata hela, yani mamdogo manka ametajirika hivi hivi kwa hii biashara"....
Wadada wa kichaga, badilikeni banaa.. sio fresh.
una uhakika na unayosema au unanakili zile hadithi za kusadikika na kufikirika....wewe ulishawahi kukutana na mambo hayo niliyobold na blue? unaishi sayari gani wewe? jupiter au neptune? ukinijibu haya tutaendelea zaidi
Tuacheni ubaguzi Wabongo tukiundekeza utatufikisha pabaya.
It doesnt mean ni ubaguzi. It is just a comment over one ethnic group. Mtu yeyote anaweza kucomment kwenye group nyingine yeyote...
Did you have any specific reason(s) to comment on this tribe? Why not waha, wajaluo, Wanyiha etc?
Jomba huko mi simo.maana nasikia wamama wa kichaga wanalala na kiumundu, ukifanya mchezo unaweza kusikia kimezama 2mboni!!!
Jomba huko mi simo.maana nasikia wamama wa kichaga wanalala na kiumundu, ukifanya mchezo unaweza kusikia kimezama 2mboni!!!
BAK, wachaga ni Mashemeji ya makabila mengi sana. Wadada wa Kichaga wakigundua tu kijana darasani zimo, watamganda kama kupe. Mkapa na Mwakyembe wakiwa mojawapo.
Wasukuma ndiyo wagonjwa hasa wa Ki-Ngozi cheupe na Wachaga wamejaliwa.
Hata jamaa yetu hapa Nyani Ngabu utasikia tu anamuulizia Nsia Nswai kila mahali......
Na Nsia mwenyewe ukimuona mmhhhh ila umbo la Kike kwa Wasukuma, kajaliwa.

kwa sifa za wachaga za Ramos huyo ni wa wapi