Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,851
- 172,484
Kwani na wewe ni mvuta bange?
Niulize hivi kwani na wewe unavuta bangi?
Kwani na wewe ni mvuta bange?
Kichekesho kweli kweli,swali kwa swali huu ndio utaratibu wa mijadala?tayari nimeshapata picha harisi!!Niulize hivi kwani na wewe unavuta bangi?
Hujanielewa, ukisema mvuta bange inasound vibaya, nimesuggest uweke vizuri swali lako na jibu lake ni ndio.....Kichekesho kweli kweli,swali kwa swali huu ndio utaratibu wa mijadala?tayari nimeshapata picha harisi!!
Sawa mkuu nimekuelewa na nashukuru kwa ufafanuzi wako!!Hujanielewa, ukisema mvuta bange inasound vibaya, nimesuggest uweke vizuri swali lako na jibu lake ni ndio.....
Bangi nibangue...