ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,759
- 131,562
Tunawafanya WATUMWA badala ya WASAIDIZI.
Yani kuna familia zinawa-treat wasaidizi vibaya kuliko mbwa, that's so unfair.
Ukirudi home do your house chores, lea mtoto wako, mlishe, muogeshe. Sio kila kitu msaidizi, kwanza tunawapa 30k-60k, kwa kuamka saa10 na kulala saa6 usiku. So unfair.