Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Tuanze na hii kwanza najua ukosi tukio 😂Umeanza kutuletea challenge za TikTok Mwachi 😹😹
Ukileta za kuwapiga matukio wanaume uniite.!!
Embe sema jamb lak hatutakuchekaJF haina wanawake tuwaambie mara ngapi?
😅
haha JF bhana
Soon ngoja nikitoka mujiniLete Mada Zako Pendwa Za Mapishi, Masotojo
😂😂😂 kazi na mfanya kazi
Nipo kwa wazee kusalimia bossMkuu leo umepika nini nije kula
😂😂🤣🤣🤣🤣😂🤣🤣😂😂Mkuu leo umepika nini nije kula
Anyway sex cannot keep a man😹
Upo kwa wazee unachota baraka. Kheri.Nipo kwa wazee kusalimia boss
For real, sex only connects you with a man.😂Anyway sex cannot keep a man😹
haha I remember you said you don't fornicate!Anyway sex cannot keep a man