Wadada wa JF mnanipa burudani kwakweli

Babumawe

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
2,585
Reaction score
2,669
Story yeyote inayoletwa na mdada humu jukwaani utakuta anaelezea mazingira ya maisha safi, anakula hotelini, anatembelea beach fulani hivi amazing.

Kila mdada humu msomi hajawahi kuachwa na anaishi masaki. Kila mwisho wa mwezi anaenda vacation ana gari na anakunywa chupa 3 za hennessy kila wiki.

Akila chipsi yai lazima abakize na popcorn hamalizagi, chakula cha mchana analia samakisamaki mlimani city na mapumziko yake ni cape verde Zanzibar kula fungate, aisee wadada wa Jf siwawezi kwakweli.
 
nakupa mtano tena ya kutafuta hela ili uendano nao sasa.... duh!!
 
Huu uzi haumuhusu miss NATAFUTA na story zake za shombo la samaki
 
Hennessy ndio niniπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…