Wadada wa humu niacheni

Wadada wa humu niacheni

Mbona hamjii sasa na hizo id zenu zakiwakii tuanze kulipuana
Acha makasiriko binti. Fanya kazi yako ya udalali, humu huwezi na hutapata mwanamke. Nina wasiwasi wewe unaweza kuwa mwanaume tena tapeli unawaseti jamaa humu.
 
Huu ndio mtandao unaoongoza kuwa na wehu ambao wanatumia fake ID kutoa stress zao. We ukitaka kujua wana JF wana mtindio qa Akili, post thread ya mafanikio. Utaona watakavyokushambulia.
Lakini kuanzisha thread ya malalamiko kama vile upo mtaani kwenu is way too much.
Mtu mwenye akili timamu hawezi lipuka hivi aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom