Wadada wa humu niacheni

Wadada wa humu niacheni

Nawewe mwembamba kama unaebola tulia aisee acha kujiona special na unanjaa hujielewi unaelekea wapi unasura ngumu maandazi ya jela wanawake wahovyoo kazi shida tu . Kama maisha magumu nimewapa au nikujishaua tu kazi kuchukuliwa nyota na nabado marinda yote huna .
Kwani leo mwezi ngapi jamani?🏃🏃🏃🏃🙆
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom