MaxShimba Platinum Member Joined Apr 11, 2008 Posts 36,008 Reaction score 4,092 Nov 11, 2012 #1 UP DATE: KUMBE WADADA WA BONGO WANAWEZA, HONGERA ZENU LEO NOVEMBER 12, 2012
The Father of All JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 10,961 Reaction score 13,429 Nov 11, 2012 #2 Wanaweza hata zaidi ya hiyo. Nenda uangalie vikundi vya sanaa.
Keen JF-Expert Member Joined Sep 27, 2007 Posts 617 Reaction score 172 Nov 11, 2012 #3 siyo kila mtu anaweza hata huko waliko hao akina dada isipokuwa tu wale wenye mazoezi. hivyo hata wabongo wanaweza kama watafanya mazoezi
siyo kila mtu anaweza hata huko waliko hao akina dada isipokuwa tu wale wenye mazoezi. hivyo hata wabongo wanaweza kama watafanya mazoezi
Chimunguru JF-Expert Member Joined May 3, 2009 Posts 10,678 Reaction score 4,377 Nov 11, 2012 #4 Vitambi vya chipsi waviache wapi, kitimoto na nyama choma mazee hahaah
Nicole JF-Expert Member Joined Sep 7, 2012 Posts 4,274 Reaction score 2,520 Nov 11, 2012 #5 Bahati mbaya mie ni mbibi wa bongo sidhan kama naiweza hiyo!!
Jicho la Tai JF-Expert Member Joined Oct 10, 2012 Posts 1,452 Reaction score 609 Nov 11, 2012 #6 Ndo znatane kwa style hyo mwanawane. weeee
Jagarld JF-Expert Member Joined Apr 7, 2011 Posts 2,689 Reaction score 3,442 Nov 11, 2012 #7 Ciello said: Bahati mbaya mie ni mbibi wa bongo sidhan kama naiweza hiyo!! Click to expand... Dah samahani bibi kumbe upo,shikamooo bibi,babu yupo mzima? Ayo ndo tunafanya wajukuu zenu siku hizi wala msiwe na stress kawaida tu..
Ciello said: Bahati mbaya mie ni mbibi wa bongo sidhan kama naiweza hiyo!! Click to expand... Dah samahani bibi kumbe upo,shikamooo bibi,babu yupo mzima? Ayo ndo tunafanya wajukuu zenu siku hizi wala msiwe na stress kawaida tu..
Shapu JF-Expert Member Joined Jan 17, 2008 Posts 2,122 Reaction score 818 Nov 11, 2012 #8 Hukwenda mama africa circus wewe ?
hashycool JF-Expert Member Joined Oct 2, 2010 Posts 6,555 Reaction score 2,838 Nov 11, 2012 #9 Kanga moko laki si pesa.....
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,226 Nov 11, 2012 #10 tynawabeba hivyo hivyo kwenda temeke HUNIJUI said: Ndo znatane kwa style hyo mwanawane. weeee Click to expand...
tynawabeba hivyo hivyo kwenda temeke HUNIJUI said: Ndo znatane kwa style hyo mwanawane. weeee Click to expand...
Chibolo JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 5,768 Reaction score 8,037 Nov 11, 2012 #11 Wakiwezeshwa wanaweza!
Mohamedi Mtoi R I P Joined Dec 11, 2010 Posts 3,321 Reaction score 6,331 Nov 11, 2012 #12 Ciello said: Bahati mbaya mie ni mbibi wa bongo sidhan kama naiweza hiyo!! Click to expand... Mkuu Ciello Hajui kama umefanya hayo mazoezi yote kabla hujawa mzee! Hahaha Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Ciello said: Bahati mbaya mie ni mbibi wa bongo sidhan kama naiweza hiyo!! Click to expand... Mkuu Ciello Hajui kama umefanya hayo mazoezi yote kabla hujawa mzee! Hahaha
B bdo JF-Expert Member Joined Nov 20, 2006 Posts 5,811 Reaction score 2,430 Nov 11, 2012 #13 labda enzi za "kibisa culture troupe"
Nicole JF-Expert Member Joined Sep 7, 2012 Posts 4,274 Reaction score 2,520 Nov 11, 2012 #14 Hahahah hapo sasa bibi yao nimecheza hadi makareti....watoto wa dotkomu hawana nidhamu!! Mohamedi Mtoi said: Mkuu Ciello Hajui kama umefanya hayo mazoezi yote kabla hujawa mzee! Hahaha Click to expand... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Hahahah hapo sasa bibi yao nimecheza hadi makareti....watoto wa dotkomu hawana nidhamu!! Mohamedi Mtoi said: Mkuu Ciello Hajui kama umefanya hayo mazoezi yote kabla hujawa mzee! Hahaha Click to expand...
Nicole JF-Expert Member Joined Sep 7, 2012 Posts 4,274 Reaction score 2,520 Nov 11, 2012 #15 Kijana nawe umewaona kibisa? Walikuwa noumaa!! bdo said: labda enzi za "kibisa culture troupe" Click to expand...
Kijana nawe umewaona kibisa? Walikuwa noumaa!! bdo said: labda enzi za "kibisa culture troupe" Click to expand...
MaxShimba Platinum Member Joined Apr 11, 2008 Posts 36,008 Reaction score 4,092 Nov 12, 2012 Thread starter #16
W Wandugu Masanja JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 1,584 Reaction score 553 Nov 12, 2012 #17 wee mbuzi mzee unanitafuta kila nikitulia wewe ndio unaleta ugomvi mimi naaanza na $ 20 wewe dalali atakaefika bei ya juu usimbanie Mbuzi Mzee said: Click to expand...
wee mbuzi mzee unanitafuta kila nikitulia wewe ndio unaleta ugomvi mimi naaanza na $ 20 wewe dalali atakaefika bei ya juu usimbanie Mbuzi Mzee said: Click to expand...
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,994 Reaction score 5,231 Nov 12, 2012 #18 HUNIJUI said: Ndo znatane kwa style hyo mwanawane. weeee Click to expand... Umenichekesha si mchezo usiku huu, hivi watu huwa mnawaza nini lakini..??
HUNIJUI said: Ndo znatane kwa style hyo mwanawane. weeee Click to expand... Umenichekesha si mchezo usiku huu, hivi watu huwa mnawaza nini lakini..??
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,859 Nov 12, 2012 #19 Mimi naweza pia
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,546 Nov 12, 2012 #20 Wabongo wanaweza kutunasisha tu