ELFU-ONEIR
Senior Member
- Jun 27, 2012
- 181
- 64
lahaulah
lahaulah
lahaulah
Mimi naweza pia
Wao waweze wana nini na mimi nishindwe nina nini?basi wewe ni mkare wao..
Wao waweze wana nini na mimi nishindwe nina nini?
siyo kila mtu anaweza hata huko waliko hao akina dada isipokuwa tu wale wenye mazoezi. hivyo hata wabongo wanaweza kama watafanya mazoezi
Vybz Kartel ameharibu sana mabinti na hii chezaji ya BICYCLE....
Hao ma dada wa Kidhungu wanahangaika sana kujifunza kucheza huku ili wakajionyeshe kwenye Disco...