1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,327
- 12,691
Uzalendo umenishinda,, nimebutua kombolera
Hakukwambia ''ngoja nikusaidie"
Bili yake imesomekaje mkuu?
Yaa mke imekaa kistaarabu sanaa,, huku tunafwata new skillzHahahahahahahah nunua scrub mpe mkeo afanye hiyo kazi epuka kufilisika
Sent using Jamii Forums mobile app
Rudi kaka,, kumenogaMimi nimeshaacha kwenda hizo saloon miaka mingi nanyia sehem ya kawaida tu
Rock city kaka,,Watu huwa wanaomba picha,mimi naomba unisaidie location ilipo Mkuu?
Alivaa nini mkuu? Mimi siendi tena hizi barbershop.Hii scrub mpyaaa kabisaa,, amenikalia mapajani huku ananiscrub,,
Ananiuliza "kaka kwani unaumia"
MTATUFILISI,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna hizi tight za kulalia,, yaaanAlivaa nini mkuu? Mimi siendi tena hizi barbershop.