love you
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 727
- 728
Haya bwana ngoja nianze kupretend ugogo. .ili ajione kidume aanze kunifundisha..Kifupi wanaume wengi huwa hatupendi wanawake " much know in every respect"
Haya bwana ngoja nianze kupretend ugogo. .ili ajione kidume aanze kunifundisha..Kifupi wanaume wengi huwa hatupendi wanawake " much know in every respect"
Utaachwa jiangalie sanaHaya bwana ngoja nianze kupretend ugogo. .ili ajione kidume aanze kunifundisha..
[emoji23][emoji23][emoji23]kuiweka k juu kama kofia umenifanya nicheke sanaValentina tunaongelea yule ambaye ana manjonjo mpk anakera. Mara alambe ass hole, mara aingize ulimi kwenye pua, mara ajikunje kama sungura na kuiweka K juu kama kofia,, mara aichomoe dushe toka ukeni kwake na kuiweka mdomoni kwake bila hata kuiosha, mara atake kula denda baada ya hapo.
Huyu hafai kuwa mke. Kila kitu mtu anapaswa kuwa na kiasi. Utamsifu kuwa anayajua mapenzi, lkn mnasahau kuwa amefundishwa kwa practical na wajanja,
Mwanamke anayejielewa, full stop. Mambo mengine ni ziada tuWanaume hamueleweki mnataka nini.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]hahahahahahahahaha wanawake wanapata shida sana humu ndani
Najaribu ku-imagine utamu ulionao cpati picha, nmekutamani bure paprika!Mimi mwanaume aliwai zimia akati tupo doggy!!! ile anamwaga nikasikia anaunguruma akadondoka... Niliogopa nikamwagia tumaji nbaada ya dakika kadhaa akazinduka yuko hoi... Ikatokea kama mara tatu ivi nikamwambia kaka samahani, sitaki kesi ya mauaji!!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lol miss chaga umenishinda chaaaa[emoji119] [emoji119]
Na mimi nizimishage basi.Mimi mwanaume aliwai zimia akati tupo doggy!!! ile anamwaga nikasikia anaunguruma akadondoka... Niliogopa nikamwagia tumaji nbaada ya dakika kadhaa akazinduka yuko hoi... Ikatokea kama mara tatu ivi nikamwambia kaka samahani, sitaki kesi ya mauaji!!!
Kwani mtu kutulia na kuanza maisha ndo kunamfanya asiwe fundi kitandani, waliompinga mleta mada hawajasema mwanamke fundi ndio wife material, kama ambavyo mwanamke anaweza kuwa gogo na bado asifae kuoa. Kuwa mlezi mzuri wa familia hakuhusiani na ufundi na ugogo.Wanaume wanaompinga mleta mada bado akili zenu hazijawaza ndoa na kutulia chini kuanza maisha.
Bado mpo kwenye kuwaza performance ya kitandani ndo kila kitu kwa mwanamke.
Mauno ya kitandani hayalei watoto wako,,hayawapi wanao maadili mema,hayakupikii chakula,hayakuandalii mahali pa kulala upate kupumzika wala hayakuandai wewe unapotaka kutoka.
Kama ni hivo wanawake wengi wangekua walio wazuri kitandani washaolewa,magogo yamebaki yanahangaika kujifunza mautundu.
Ndoa is beyond viuno kitandani..
ndio maana kila siku nawaambia wanawake,Huko kuolewa siku hizi kuna masharti zaidi ya masharti ya kukopa Bank of Africa khaaaa, excuse nyingi sio waoaji hawa.
Mnawahangaisha wadogo zetu sio waoaji nyie. Mkipata watu walioridhika na nyie oleweni kama hamjapata acheni, kula tu ndio lazima mengine hiyari. Sie wengine sijui hata tuliolewa kwasababu gani, ila nafikiri lililo kuu lilikuwa Upendo.
Yote hayo ni kukosa kujiamini tu, mnapenda kuwadidimiza wanawake wawe wanyonge ili kuboost your self esteem. Wanaume jifunzeni kuwa Wanaume.
Muda mwingine huwa nawashukuru sana wakwe zangu kwakunilelea mwanaume mwenye Confidence za ajabu, Mtu aliyesema nataka uwe mke wangu tu mengine yote yalikaa kwenye mstari automatically!
Preach sisy preach! Watu hawajui hata kwanini wanaoana ndio hawa wanaitukanisha hii taasisi kila siku.ndio maana kila siku nawaambia wanawake,
"Usikubali kuolewa ila Oaneni"
Huu msemo una maana kubwa kwa mtu mwenye mazingatio, wangesimama thabiti mada kama hizi tusingeziona,
heshima ingekuwepo.
Ndoa ni lazima kwa kila mmoja wapo, Me au Ke, vipi ionekane kama Ke ndio mwenye hitaji sana hata akubali kudhalilika kisa ndoa,
Kuna shida mahali, they have to fix it.
Bint kakaa kwao kashika tama, anakuja bwana anamsemesha na kutoa ahadi ya kuleta posa, ahadi tu yani, kishakurupuka kaenda kwa bwana, kufua yeye, kupika yeye, mama mkwe kaumwa mpeleka vyakula hospital yeye, wifi anamtoa mwanae arobain yeye mpeleka masanduku, mwanamke anajipa tashititi utasikia oooh nabembeleza ndoa,Preach sisy preach! Watu hawajui hata kwanini wanaoana ndio hawa wanaitukanisha hii taasisi kila siku.
Bint kakaa kwao kashika tama, anakuja bwana anamsemesha na kutoa ahadi ya kuleta posa, ahadi tu yani, kishakurupuka kaenda kwa bwana, kufua yeye, kupika yeye, mama mkwe kaumwa mpeleka vyakula hospital yeye, wifi anamtoa mwanae arobain yeye mpeleka masanduku, mwanamke anajipa tashititi utasikia oooh nabembeleza ndoa,
mwisho wa siku kamuona Ever huko hajui kupika wala kuosha vyombo, madeko yake tu yamemchanganya anakuja kumuoa, binti anaachwa solemba, na ahadi haikukamilika.[/QUOTE
Hili nalo neno, wanaume sisi huwa hatueleweki kwa kweli. Mnaweza jitoa kwetu kwa kila ila baadhi yetu twajifanya hatuoni na kuoa kwengine isitoshe huko tunapooa tukikuta ndivyo twaanzisha yetu yalioyomo vichwani mwetu.