Wadada: "Ukijituma" mno kitandani huolewi ng'o!

Wadada: "Ukijituma" mno kitandani huolewi ng'o!

jamani lengo la kuniita kufanya matusi si ili nipate raha jamani sasa nivue nguo dhambi tayari hiyo dhambi nayo nisiifuraie kweli ni halali? na mfano nikitoka hapo nikapata ajali nikafa direct motoni kweli nyege nibaki nazo moto niupate haloo.. mtupage na sisi nafasi ya kujiachia tu si masharti yote haya ..
mnataka tuje tufue tupike tuoshe vyomo na jiko lako plate moja la kuinama huna hata kibao cha kukatia mboga huna nakatakata kwenye mkono najikata halafu bado kunitia nisiridhike hapana acha nionekane kahaba kama style fulani inanipa utamu haloo nitaikaa tu hata iweje utamu nipate na pesa niombe over

ooh wachaga kifo cha mende kumbe style hamtaki wai .. sasa mnataka nini aisee? mbona matuvuruga sana ?
a

Hivi hapo umemaanisha?
 
Haya mambo tunatofautiana, mi nipewe raha tu. Nikaoe gogo kisa bado jipya, mambo mengine hayafundishiki, kama anajua anajua tu. Kama hajui shauri yako.

We chukua gogo lako ukamfundishe kukata mauno.
 
Ukicheka sana huolewi!
Ukinuna sana huolewi!
Ukipenda sana huolewi!
Ukijiremba sana huolewi!
Blah!blah!
Mtu asipokupenda hata ukiwa bikra hatokuoa ng'oo
Ukikaa kama Gogo Huolewi....!
Msikate tamaa jamani,kufa tu ndio lazima.Afu wasiwape uoga kuolewa kungekuwa kugumu kiasi hicho ndoa zingekuwa adimuuu kama mnyama ngekewa.Wakt ukufika utaolewa
Umemaliza nyongine mbwembwe tu
 
Ila wanaume Mungu anawaona!!!
Mdada unajituma kujibinua mpaka unakisikia kiuno kinavyolalamika ila lenyewe liko nyuma linakubonyeza zaidi kiunoni!!! Alafu akitoka hapo anaenda kuoa gogo! [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nilinunua Cd ya awilo na kajifunza kukatika ili kiuno kiwe laini ***** kumbe hawataki mauno wanaume wahuni sana .. Jf tumesemwa sana wachaga magogo nikajifunza kukatika sasa hivi hawataki tena uwiiii
 
Back
Top Bottom