[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji33] [emoji33] [emoji33]Manga jamaan upogo miss u kuna mtu ana avatar kama yako anajiita njughu nilijua ni ww
iceman vipi tena au ulitaka nikumiss na ww jana si tulishinda wote kwenye thread ya wachaga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji33] [emoji33] [emoji33]
hahahaiceman vipi tena au ulitaka nikumiss na ww jana si tulishinda wote kwenye thread ya wachaga
manga sijamuona kalibia mwezi
hamna bana mshikaji kama ww tu wala sina cha kujitetea kuwa na amanihahaha
hamna naona unampa maelezo meengi kama una jidefend hivi!! [emoji28] [emoji28] [emoji28]
ndio maana ikabid nicheke
anhaa! poa bhanahamna bana mshikaji kama ww tu wala sina cha kujitetea kuwa na amani
hivi jana unakumbuka ulichoniambia kuwa bado hajakujibu leo tena bado unawindaanhaa! poa bhana
bas endelea na maisha, ngoja na mie niendelee kuwinda hapa
aaahhivi jana unakumbuka ulichoniambia kuwa bado hajakujibu leo tena bado unawinda
Nipo bhanaa miss you moreManga jamaan upogo miss u kuna mtu ana avatar kama yako anajiita njughu nilijua ni ww
aisee ndio wenyewe mnajiita kidume mkiwa hivyo msalimie Daby naona kakuharibu tabia yakeaaah
huyo mwinginee, wakat nasubir kule , naendelea kuwinda kwingine, kwenye maisha plan b muhimu
Upepumbuzi yakinifu.Inategemea na barabara
nini shida mbona ulipotea hiviNipo bhanaa miss you more
Mmm huyo hapana hafua bado sijamuona ntabadili tu nikimuona
Aaah demu wangu.mambo vipi?Manga jamaan upogo miss u kuna mtu ana avatar kama yako anajiita njughu nilijua ni ww
Yaaani mbona tunakomaaa[emoji26]hahahahahahahahaha wanawake wanapata shida sana humu ndani