Wadada tutete kidogo

Wadada tutete kidogo

Da Mange alituloga tuote kuolewa na matajiri
Matajiri watakugeuza chombo cha matumizi
Brand names zipo za bei chee za wachina so tunafanana tu, muhimu kuwekeza kwa ajili ya maisha ya mbeleni
 
Matajiri watakugeuza chombo cha matumizi
Brand names zipo za bei chee za wachina so tunafanana tu, muhimu kuwekeza kwa ajili ya maisha ya mbeleni
Somali kununua handbag baada ya kumaliza target mfano msingi kwani maisha yenyewe nayo ni mafupi.
 
Da Mange alituloga tuote kuolewa na matajiri
Tumuombee da mange jamani atimize ndoto zake kabla hajafika 50, kuna siku nilicheka alivyopataga vihela vya mchango wakati anamchamba jiwe na DAB ,kapiga picha watoto afu kawatag H&M kwamba ndo kawanunulia nguo uko afu akatag make up yake sijui wapi na pochi lake lile la CL nikasema anahangaika bure wabongo wenyewe wanaoelewa ivyo vitu wachache
 
Wote tukijenga hizi nyumba za kupanga mtafugia kuku? Tuache tudamshi bwana.
 
Mpate masikini mpande pamoja au mkutane wote level
Yaani akae huko na umasikini wake akisubiri kupanda na mimi
Simtaki mwenye mawazo mgando hivyo, atanidumazia watoto.
 
Wote tukijenga hizi nyumba za kupanga mtafugia kuku? Tuache tudamshi bwana.
Tuwe na mawazo ya kupata bwana masikini? Umasikini ni dhambi.
Watapangisha watoto wetu wakianza maisha
Mpate masikini mpande pamoja au mkutane wote level
Yaani akae huko na umasikini wake akisubiri kupanda na mimi
Simtaki mwenye mawazo mgando hivyo, atanidumazia watoto.
Mpaka waanze maisha si yatakuwa magofu.
Dada atoto bhana
 
Kwa upande wangu ni bora niwe na vitu vichache vya gharama ambavyo najua nitadamshi navyo ata miaka mitano lakini sio kukimbizana na fashion kila siku,Nina miaka 4 sijanunua pochi ninazo tatu na bado zipo kwenye hali nzuri kabisa,nguo na viatu ndo kabisa toka nilivyoshop 2015 mpaka leo huwa napewa zawadi tuu,make up,perfume,products za usoni nazo huwa napewa zawadi kutoka kwa marafiki na ndugu jamani huu ubahili sijui nimeutoa wapi
Kwahiyo wewe nimtu wamizawadi2 vipi wewe utoi?
 
Back
Top Bottom