Wadada tutete kidogo

Wadada tutete kidogo

Handbag 20? Kweli maisha haya...!
Hana maana hiyo sana kwamba lazima uwe na handbag 20,hata zikiwa 6 tu ambazo hazina maana tofauti na ukiwa nazo 3,kazi yake ni hiyo moja. MUHIMU hapo anawaamsha usingizi kwamba jipange kimaisha,ikiwezekana anza kununua uwanja badala hizo handbag na pafyum na kumsubiri mume wa ndoto wa maghorofa ya bagamoyo. Piga kazi jijenge kimaisha mwenyewe,achana na ndoto
 
Ni vyema sana unavyo washauri wanawake wenzio kiuhalisia zaidi, kuliko kimovies

Na Expectations zinaumizaga sana ni vyema ku lower expectations zetu za kimaisha hii ni kwa wote.
Cole Williams nakupinga kwa hili. Binadamu ili uwe na maendeleo unatakiwa kuwa na big expectation ktk maisha yako ili atakama utashindwa fikia malengo hayo angalau uishie sehemu nzuri ya malengo
 
Umeanza kazi mjini mwaka wa tatu unaishi kwenye chumba na sebule. Chumbani una dressing table ina perfume kama zote kuanzia Coco Channel, Christian Dior, Estée Lauder nk, make up za MAC na Iman,

Handbags 20+ kuanzia Michael Kors, Calvin Klain, DKNY ec. Viatu pair 20+ kuanzia high heels, sandals, flats

Ni muumini wa da Mange kuwa utapata mwanaume mwenye pesa, anaejenga ghorofa Bagamoyo.

Unahitaji maombi uamke kutoka kwenye huo usingizi.
Big brain I support you sister. The aim it's just to look richer but to be one.

Dress smart but above all, FOCUS
 
Hana maana hiyo sana kwamba lazima uwe na handbag 20,hata zikiwa 6 tu ambazo hazina maana tofauti na ukiwa nazo 3,kazi yake ni hiyo moja. MUHIMU hapo anawaamsha usingizi kwamba jipange kimaisha,ikiwezekana anza kununua uwanja badala hizo handbag na pafyum na kumsubiri mume wa ndoto wa maghorofa ya bagamoyo. Piga kazi jijenge kimaisha mwenyewe,achana na ndoto
Mimi sijawahi kuota ndoto
 
Ninayo moja
 
Umeanza kazi mjini mwaka wa tatu unaishi kwenye chumba na sebule. Chumbani una dressing table ina perfume kama zote kuanzia Coco Channel, Christian Dior, Estée Lauder nk, make up za MAC na Iman,

Handbags 20+ kuanzia Michael Kors, Calvin Klain, DKNY ec. Viatu pair 20+ kuanzia high heels, sandals, flats

Ni muumini wa da Mange kuwa utapata mwanaume mwenye pesa, anaejenga ghorofa Bagamoyo.

Unahitaji maombi uamke kutoka kwenye huo usingizi.
Nakazia,
Maombi yanahitajika.
 
Hiyo miaka unapigana kuachana na maisha ya kwenye chumba. Hand bags tatu zinatosha, moja ya night out, moja ya kazini na mojavya kanisani. Ikiwezekana ya kazini na kanisani hiyo hiyo mpaka iharibike zipu.
Huyu ni mimi. Na wakati mwingine najutia maisha niiyoishi shule. Kila siku na handbag yake. Viatu vingine unavaaa mara moja vinaharibikia ndani.

Nimekuja kuguta ikiwa sio too late. Nadhani pia kutokana na majukumu niliyo nayo katika umri wangu yananiweka kwenye mstari. Nikinunua handbag kama haijaharibika zip haitanunuliwa ingine.
Kupendeza sio lazima uwe na kitu kipya kila siku. Na hapo ndio wadada tunafeli. Ukikaka na kitu mwezi tu unakiona 'hudamshi' tena
 
Wanawake wengi wako insta, na mitandao mingine sio jf, wanawake tulionao humu binafsi nawapenda sana japo siwafahamu lkn sio wabinafsi ndio maana wanajitahidi kuchangamana na mitandao ya kiume km hii, pongezi nyingi ziwafikie
Asante
 
Back
Top Bottom