google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,668
- 13,868
na kofi moja zito la kurestore settings to factory settingsUmeanza kazi mjini mwaka wa tatu unaishi kwenye chumba na sebule. Chumbani una dressing table ina perfume kama zote kuanzia Coco Channel, Christian Dior, Estée Lauder nk, make up za MAC na Iman,
Handbags 20+ kuanzia Michael Kors, Calvin Klain, DKNY ec. Viatu pair 20+ kuanzia high heels, sandals, flats
Ni muumini wa da Mange kuwa utapata mwanaume mwenye pesa, anaejenga ghorofa Bagamoyo.
Unahitaji maombi uamke kutoka kwenye huo usingizi.
