Risk manager
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,807
- 17,361
ziweke wazi tuelimishane mie binafsi kama sikupendi ndo siwezi kukuoa, wapo wanakulilia wakuoe nawewe unawalilia wakuoeKuna sababu nyingi sana za kukataa kuolewa na mtu! Na zingine ni sababu nzuri tu na muhimu
Yap, nimependa hiyo, 'ana beg'
Tena on one knee. 🙂
Mkuu kuweka sababu zangu hapa siwezi!!!ziweke wazi tuelimishane mie binafsi kama sikupendi ndo siwezi kukuoa, wapo wanakulilia wakuoe nawewe unawalilia wakuoe
kusema ukweli ukipenda kiukweli akili inapotea na unakuwa hauelewi ukiambiwa no afu mtu akaonyesha kitu kidogo cha kibinadamu wewe unaona kama ni anakupendani baadi ya wadada hawaelewi tu
samahani mkuu sijui nina hangover unajua nimekujibu tu lakini sikuelewi tokea mwanzo.. nisamehe sana nahisi kama na wewe unielewi ila unajitahidi.. embu tuanze upya swala hapa ni wadada kulazimisha ndoa me nikaongezea hata wakipata mimba wasilazimishe wafanye majukumu yao.. okey twende sasa.. asante mkuukusema ukweli ukipenda kiukweli akili inapotea na unakuwa hauelewi ukiambiwa no afu mtu akaonyesha kitu kidogo cha kibinadamu wewe unaona kama ni anakupenda
wananichekeshaje hao wadada jamani enzi akiwa mdogo anadeka sana ila acha umri uende anakimbilia kanisani ataimba kwaya, mstari wa mbele kukaa,ukimtongoza anakuambia njoo kanisani au okoka kwanza.wapo waliotaka kuwa masista i.e watawa ila baada ya tajiri kumtaka anapiga chini utawa na anaolewahahahhahah wanakuja kusumbua kanisani waolewa halaf umri umeshaenda
Kila siku wanafunga na kuomba ili jehova atende muujizahahahhahah wanakuja kusumbua kanisani waolewa halaf umri umeshaenda
ni ukweli wasilazimishe mana mwisho wa siku watajuta kuolewa na anayempenda yupo atamuoa tu na huyo mtotosamahani mkuu sijui nina hangover unajua nimekujibu tu lakini sikuelewi tokea mwanzo.. nisamehe sana nahisi kama na wewe unielewi ila unajitahidi.. embu tuanze upya swala hapa ni wadada kulazimisha ndoa me nikaongezea hata wakipata mimba wasilazimishe wafanye majukumu yao.. okey twende sasa.. asante mkuu
hapo ni kweli kabisa, sema huwa ni wazito kuelewa wakishazaa wanataka kulazimisha mambo mwisho wa siku wanaishi maisha magumu ya mateso sana ..muhimu ni kujitambua basini ukweli wasilazimishe mana mwisho wa siku watajuta kuolewa na anayempenda yupo atamuoa tu na huyo mtoto
halafu ndoa/mapenzi ni pande mbili zote kuridhia i.e ni kipaji kinatokea naturally ni kama ukindondosha kitu lazima kiende chini na sio juu hilo halina ubishi wowotehapo ni kweli kabisa, sema huwa ni wazito kuelewa wakishazaa wanataka kulazimisha mambo mwisho wa siku wanaishi maisha magumu ya mateso sana ..muhimu ni kujitambua basi
nadhani watajifunza ..halafu ndoa/mapenzi ni pande mbili zote kuridhia i.e ni kipaji kinatokea naturally ni kama ukindondosha kitu lazima kiende chini na sio juu hilo halina ubishi wowote
hahahhahahhsamahani mkuu sijui nina hangover unajua nimekujibu tu lakini sikuelewi tokea mwanzo.. nisamehe sana nahisi kama na wewe unielewi ila unajitahidi.. embu tuanze upya swala hapa ni wadada kulazimisha ndoa me nikaongezea hata wakipata mimba wasilazimishe wafanye majukumu yao.. okey twende sasa.. asante mkuu
niliona tunakoelekea tutavurugana tuhahahhahahh
tunasubili Mungu atende miujizawananichekeshaje hao wadada jamani enzi akiwa mdogo anadeka sana ila acha umri uende anakimbilia kanisani ataimba kwaya, mstari wa mbele kukaa,ukimtongoza anakuambia njoo kanisani au okoka kwanza.wapo waliotaka kuwa masista i.e watawa ila baada ya tajiri kumtaka anapiga chini utawa na anaolewa