Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Sawa ujumbe umenifikia[emoji87]Habari MMU,
Nimekutana na hii story kwenye group letu uko mdada anasema anapendana vizuri na mpenzi wake na kila mtu anaishi kwake wapo kwenye mahusiano kwa muda mrefu sana. Anasema mwanaume ana kazi nzuri sana ana kila kitu ila akimwambia amuoe mwanaume anamwambia hajajipanga na kuna muda wanagombana akianzisha swala la ndoa.
Wadada wenzangu ndoa hailazimishwi kabisa mwanaume mwenyewe atakuja atakwambia baby nahitaji kukuoa naomba unipeleke kwenu. Haya mambo ya kumlazimisha mwanaume mwisho wa siku ndoa haina amani mwanaume kukurudia usiku wa manane ukimuuliza na kupigwa utapigwa.
Kingine kama Mungu kakuandikia wewe ni wa kuolewa utaolewa tu kama ni wa kudanga utadanga tu, tusikate tamaa hata umri ukienda vipi ipo siku tu.
Na Wengine watazaa tu Ndoa kwani c bonous tuuuwachache sna tutakaoelewa hapo Mustapha
Eti!!!Kwahiyo unakuwa na mtu miaka miwili lkn hujawahi kumuuliza suala la ndoa?!
Hilo nalo nenoNa ukipata mimba si ticket ya ndoa .. muhimu fanya yanayokuhusu basi
Hebu rudi nikuulize mmBila shaka kwa mbio hizi swali litakuwa gumu nguja nilikimbie [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ataniambia pm ucjal
haujanipa jibu mm we jibu hapa tatizo nn au subili thread yako soon inakuja
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ha ha ha ha anifungulie thread yake kuniuliza hyo mada maana ina majibu meng mnooo
Shemejiii jibu banaaHa ha ha ha mnaona sasa kwan majibu yangu na mada pendwa hapo juu vina uhusiano kwel.
[emoji23] [emoji23] umeoaa weeee.....Sijakwepa mada kabisa ni kwamba naogopa kuvuruga utarabu wako humu ndan
Kumbe na wewe ni singo..!!tusikate tamaa hata umri ukienda vipi ipo siku tu.
Kapigana?![emoji15]bora umekuja Daby alikua anafanya fujo
Hivi unaanzaje kumlazimisha mtu aishi na wewe milele? halafu mtu mwenyewe mmekutana ukubwani, yaani watu wameshafanya ndoa taboo.
Get married or die trying.
[emoji23] [emoji23] umeoaa weeee.....
kule chini si unajua hatutaki maneno kule ni pic zaidi, maneno ni mmu.
Wanauliza nini?????Kuuliza siyo ujinga.. Acha waulize...