Wadada tunajiebisha kwa hili

Wadada tunajiebisha kwa hili

Unamkuta mdada ni mrembo tu,na ana vigezo vya kuitwa mrembo,na mwanaume yeyote anaweza kukutongoza popote ulipo lakini cha kushangaza loh!

Unamkuta mdada amejipodoa kapendeza na kavaa na kweli kawa beautiful lakini ,,inasikitisha anajipitisha kwa wanaume

Yaani kazi yake ni kutafuta walipo kaa wanaume vijiweni na kujipitisha mbele zao ,ooh! Asipoitwa na mwanaume yoyote anaenda anabadailisha nguo na staili mpya ya kutembea,anarudi tena na kafunga kanga kiunoni na kama huku nyuma kajaliwa atapita sana

Wanawake hatupaswi kutafuta ,wao watutafute

Yangu ni hayo tu!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtafutwe kvp sasa waqt nyny ndo mpo wengi na ndo mnaopaswa kututafuta sisi?

Pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamkuta mdada ni mrembo tu,na ana vigezo vya kuitwa mrembo,na mwanaume yeyote anaweza kukutongoza popote ulipo lakini cha kushangaza loh!

Unamkuta mdada amejipodoa kapendeza na kavaa na kweli kawa beautiful lakini ,,inasikitisha anajipitisha kwa wanaume

Yaani kazi yake ni kutafuta walipo kaa wanaume vijiweni na kujipitisha mbele zao ,ooh! Asipoitwa na mwanaume yoyote anaenda anabadailisha nguo na staili mpya ya kutembea,anarudi tena na kafunga kanga kiunoni na kama huku nyuma kajaliwa atapita sana

Wanawake hatupaswi kutafuta ,wao watutafute

Yangu ni hayo tu!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha kuharibu mambo wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha yamekuwa magumu,wanatumia 'asset' zao waendelee kuishi mjini,mjini mipango.
 
Hao itakuwa wasichana waliovunja au wanaokaribia kuvunja ungo.
Kama kuna mwanamke mwenye akili na utu uzima wake anafanya haya basi kazi ipo.
Wakikua wataacha.
Au labda ndio style mpya ya kudanga mjini pagumu ati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamkuta mdada ni mrembo tu,na ana vigezo vya kuitwa mrembo,na mwanaume yeyote anaweza kukutongoza popote ulipo lakini cha kushangaza loh!

Unamkuta mdada amejipodoa kapendeza na kavaa na kweli kawa beautiful lakini ,,inasikitisha anajipitisha kwa wanaume

Yaani kazi yake ni kutafuta walipo kaa wanaume vijiweni na kujipitisha mbele zao ,ooh! Asipoitwa na mwanaume yoyote anaenda anabadailisha nguo na staili mpya ya kutembea,anarudi tena na kafunga kanga kiunoni na kama huku nyuma kajaliwa atapita sana

Wanawake hatupaswi kutafuta ,wao watutafute

Yangu ni hayo tu!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
We vp?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom