cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,586
- 8,389
Unamkuta mdada ni mrembo tu,na ana vigezo vya kuitwa mrembo,na mwanaume yeyote anaweza kukutongoza popote ulipo lakini cha kushangaza loh!
Unamkuta mdada amejipodoa kapendeza na kavaa na kweli kawa beautiful lakini ,,inasikitisha anajipitisha kwa wanaume
Yaani kazi yake ni kutafuta walipo kaa wanaume vijiweni na kujipitisha mbele zao ,ooh! Asipoitwa na mwanaume yoyote anaenda anabadailisha nguo na staili mpya ya kutembea,anarudi tena na kafunga kanga kiunoni na kama huku nyuma kajaliwa atapita sana
Wanawake hatupaswi kutafuta ,wao watutafute
Yangu ni hayo tu!!!
Sent using Jamii Forums mobile app