Wadada tunajiebisha kwa hili

Wadada tunajiebisha kwa hili

Huto mi tusichana tuuuu bado sana kuitwa wanawake.

Mwanamke anajiamini bana, hahitaji kusifiwa na visela vya kijiweni.... mwanamke hana mda wa kupoteza kwa kujipitisha pitisha na kubadili nguo.

Mwanamke anapitisha hata miwa na mihogo mibichi aingize hata 5,000 kwa siku. Hatembei ovyo ovyo barabarani.

Mwanamke anajipenda. Akizirurishe tu juani ? Ngozi iwe exposed for nothing?

Ah wewe. Those are horny little girls.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom