Wadada tukumbushane .... sisi ni wathamani

Wadada tukumbushane .... sisi ni wathamani

Ni rafiki yangu kanitumia nami nakubaliana na hii article 100%.. LOVE IS NOT ALL ABOUT SEX

We have all made mistakes in life, let's amend it..........
Sex is NOT love. Love is not sex. You can have sex and not be in love. You can be in love and not engage in sex. A man may hate you and still have sex with you. Be wise. Using sex to manipulate a
man will eventually fail.
It is self deception to think that giving him sex will make him love you. True Love will never force you to engage in sex. A man who doesn’t love you will not change his mind because of sex. If he tells you to ‘prove your love’ by having sex with him, he is only using you. If he is in it for the sex, ‘better sex’ will take him away from you.
Making yourself his ‘sex slave’ is foolish. Love will never shame or degrade you. If you have made the mistake of trying to use sex to buy this man, now is the time to re-assess your relationship and
build it on the right foundation.
If he gets married to you because ‘the sex is good’ it will be fatal to your marriage. Let him get married to you because he loves you, honors you, feels a strong emotional, mental and spiritual connection with you and wants you to spend the rest of his life with you.

#think about it#

Sina hakika kama wa dada, tena wa kileo wanalijua hili......

Nadhani ni hatari mwanamke kufikiria kuwa akitumia mchezo wa 6x6 hata kwa msaada wa IT anaweza kumfuga mwanamume.....

Afterall, ladha haiwezi kudumu ila bidhaa yenye viwango vilivyokubalika ndiyo hudumu!!

Babu DC!!
 
Thinking about it:-
Hivi? Wanawake hawafurahii sex?
Kwanini unatumia neno giving?
Kwanini tunaumia akienda SEX na mwingine?
Ni lini tutaacha play uVictim?

Mimi Kaunga l do sex coz l want it n l like it na sio kwasababu nawajibika kumpa mtu sex! So hakuna anayenitumia, bali tunatumiana kama kutumika ndio case.

Mdogo wangu Kaunga,

Hili nalo ni tatizo sana na linasumbua pande zote mbili.

Yaani kucha kutwa wanawake wanalalamika kwamba wanaumizwa, wanatumika na kupotezewa muda wakati nao ni wabia wa biashara ya kufurahia mapenzi....

Ila mie nimemwelewa Zion Daughter, binti wa Mwita Maranya kuwa wanawake waache imani potofu, kuhisi kuwa wakitandaza uroda 24/7 wanakuwa wamewanasa wanaume...

Kumbe jamaa watakula kwa raha zao na kutimka!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Babu DC, kuna sehemt nakubaliana na Z'dowuta kuna sehemu napingana naye.

Mwanamke anayetumia Sex kupata kitu huyo anamtumia mwanaume kama vile anayetumia pesa kupata mwanamke!
So she is not a victim ni choice kafanya.
Hivyo ushauri wa Zion hapo ni aache ujinga huo wa kuwatumia wanaume bali atumie akili na uwezo wake.

Lkn kama nina boyfriend wangu, ninampenda na kumuhitaji nisimake naye love ili anioe that is something l am not buying. Kama l want to have sex naye anataka l will go for it (labda kwa swala la imani ya dini tu), kama hatutaoana; it was not meant to be!
 
Nakubaliana na wewe Kaunga,

Suala la kufanya mapenzi (ngono), mapenzi/upendo wa kweli na ndoa ni vitu tofauti kabisa...

Bahati mbaya watu wanashindwa kutofautisha na kuchora mstari pale inapotakiwa...

Kuacha kufurahia kitu ambacho kila mtu anakitaka na kukihitaji eti kwa vile mnasubiri hadi ndoa si vizuri na siyo guarantee kwamba hiyo ndoa itakuwepo.

Kuna ndugu yangu aliachwa na mchumba wake kwa sababu aling'ang'ania kwamba wasifanye mapenzi hadi wafunge ndoa. Dada wa watu akaona kama anawekewa mtego ili baadaye aje kusutwa kwa vile alishajizoelea kula tunda..... Pamoja na kulipiwa mahari, alipiga mtu chini na kuishia zake!!

Jambo la muhimu ni watu kuamua with full knowledge ili wajue kwa nini wanafanya mapenzi au hawafanyi!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Ni rafiki yangu kanitumia nami nakubaliana na hii article 100%.. LOVE IS NOT ALL ABOUT SEX

We have all made mistakes in life, let's amend it..........
Sex is NOT love. Love is not sex. You can have sex and not be in love. You can be in love and not engage in sex. A man may hate you and still have sex with you. Be wise. Using sex to manipulate a
man will eventually fail.
It is self deception to think that giving him sex will make him love you. True Love will never force you to engage in sex. A man who doesn’t love you will not change his mind because of sex. If he tells you to ‘prove your love’ by having sex with him, he is only using you. If he is in it for the sex, ‘better sex’ will take him away from you.
Making yourself his ‘sex slave’ is foolish. Love will never shame or degrade you. If you have made the mistake of trying to use sex to buy this man, now is the time to re-assess your relationship and
build it on the right foundation.
If he gets married to you because ‘the sex is good’ it will be fatal to your marriage. Let him get married to you because he loves you, honors you, feels a strong emotional, mental and spiritual connection with you and wants you to spend the rest of his life with you.

#think about it#

Kwa hiyo unataka kusema sex siyo ishu ya msingi kwenye ndoa? Unajidanganya! Sex ndio mambo yote hayo mengine yanafuatia!
 
haya mambo ni ya kibaolojia sana, mtu ukiwa mzima na unakula msosi vizuri kuishi kama mseja wakati wewe sio, ni ngumu sana,manake hata hao waseja tunawaona wanashindwa kufata nadhiri zao.
na kwa mfumo wa maisha ya sasa, kumegana imekuwa ishu ndogo sana , ndio maana ndoa nyingi zinazofungwa sasa lazima bibi harusi anakuwa tayari ameshaleta kiumbe au anakaribia
 
nahisi mzabzab atazimia aisee, thanks dada for wise adv ise, asiyesikia shauri yake
 
kwa hiyo campaign yako akina dada wasiwe wanatoa mzigo?shauri yako nasisi tutaamua kususa

Yakhe, wajua mswaki hata ukae mwaka bila kutumika, yumkini haudhuriki atii,
Lakini mdomo ukikaa wiki tu bila kutia mswaki si wajua haukawii kutoa harufu ya pilau atii,
acha wasuse sisi twawasubiri tu, hatuna hiyana atii.
 
Kwa hiyo unataka kusema sex siyo ishu ya msingi kwenye ndoa? Unajidanganya! Sex ndio mambo yote hayo mengine yanafuatia!

Jamani mbona hamuelewi.. article haijasema kwenye ndoa... wala haijasema sio muhimu bali jinsi gani hilo tendo linachukuliwa
 
wanaume wakileo bila kupiga papuchi hakuoi ng'ooo. je mpo tayari kunyima papuchi mpaka kuolewa?

ni kwanini lakini:confused2:, ila ts true u cant win a mans love thru sex.
A%20S-frusty.gif
 
Afu wewe nilijua tu utakuwa na mawazo hayo mzee wa kugegeda.... Hakuna cha kileo wala nini..mbona ndoa hazidumu tofauti na zamani???
zamani madili miongoni mwa jamii ilikuwa juu sana. tendo la ndoa (kugegedana-mzabzab) lilikuwa ni la heshima na siri kubwa. leo hii hakuna kitu kama hicho. tendo la ndoa limekuwa fashion. mtoto hajavunja ungo/balehe ameanza kushiriki tena kwa kasi ya ajabu. watu wazima ndo wapo mstari wa mbele kuwarubuni wanafunzi.
love na sex ni vitu havitenganishwi ila vinatumika vibaya kiasi cha wanawake kuja na misemo kama hiyo ya love is not sex and sex is not love.
Kibaya zaidi situation hii haiwezi kuwa reversed. tutaendelea nayo hivyo hivyo hadi vifo vyetu. actually situation becomes worse. wapo humu jamvini wamediriki kupita hadi na mama wakwe zao!!! mkewe akijua kutakuwa na love tena hapo au ndo hatred pande zote mbili - familia ya mke na mume yote lazima isambaratike.
 
Hata wakaka nao ni wa thamani vilevile.

Kimsingi, hakuna binadamu asiye na thamani au mwenye thamani zaidi ya mwenzake ukiondoa labda tu wale waliochukua uhai wa wenzao.

Kwa hiyo hata wakaka na nyie tembeeni mkijivuna kuwa na nyie mna thamani pia.

Msiruhusu kuaminishwa kwamba ni wadada tu ndiyo wenye thamani.
 
Babu DC, kuna sehemt nakubaliana na Z'dowuta kuna sehemu napingana naye.

Mwanamke anayetumia Sex kupata kitu huyo anamtumia mwanaume kama vile anayetumia pesa kupata mwanamke!
So she is not a victim ni choice kafanya.
Hivyo ushauri wa Zion hapo ni aache ujinga huo wa kuwatumia wanaume bali atumie akili na uwezo wake.

Lkn kama nina boyfriend wangu, ninampenda na kumuhitaji nisimake naye love ili anioe that is something l am not buying. Kama l want to have sex naye anataka l will go for it (labda kwa swala la imani ya dini tu), kama hatutaoana; it was not meant to be!

Wanawake wanaofikiri kwa jinsi ya Kaunga ni wachache sana na ndio wanawake responsible na mara chache kusikia mahusiano yao yako matatani.

Sex is a mutual game. Mkiwa katika mahusiano, nyote mnajukumu la kufurahia tendo hili, lakini bahati mbaya wanawake walio wengi wana fikra potofu kwamba sex ni kwa faida ya mwanaume hivyo wanaona kama sex ni kutumika.

Ushaidi juu ya hili ni pale mahusiano yanapovunjika utasikia binti akilalamika yani mimi nimekuvulia...bila kujiuliza kwani mwenzake alikuwa hamvulii? Kama mahusiano yamevunjika ni vema kuangalia matatizo bila kuangalia eti ni fulani tu ndio alikuwa anapata faida.

Haya mawazo yanaendelea hata kwenye maisha ya ndoa ndio maana ndoa zinakuwa mashakani kwa sababu ya wanawake kutokuwajibika. Mwanaume kupata tunda mpaka AMTONGOZE mke wake! Jamani, sasa alikutongoza ukiwa msichana nyumbani kwenu hata mkiwa kwenye nyumba yenu?

Ebu mabinti/wanawake jifunzeni kuliona tendo hili ni la wote. Usitoe penzi kumfurahisha mwenzio bali kubali kufanya mapenzi ili mfurahie! Kama hauko tayari sima leo hujisikii lakini kuwa fair siku mambo yakiwa shwari muite mzee. Uzuri wanaume tuko tayari muda wote!
 
Duh

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom