Ni vizuri kama mnazijua akili zenu maana hata sisi wenyewe akili zenu hatuzijui huwa tunajiuliza sanaHahha sisi wanaume tunachange mda wwte huna pesa dada wa watu hadi anakusaidia ila ukitoka tu kimaisha unapiga chin au unaanza mtesa wanaume bhana akil zetu tunajua sisi wwnyew tu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ukimuua huyo hata ndugu zake watakuelewaNilijua tuumbe watu kumbe tuanze nao chini mpaka juuu!!???
Sawa sio tatizo .....ila kuna kale katabia akifika juu anakwambia haukua type yangu analeta chuma kikaliiii then wewe mtafutaji unatimuliwa .....je ikitokea hivyo naruhusiwa kumuua huyo mtu au siruhusiwi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakazia nakazia na kitunguu saumuNa fursa zote duniani mwanaume anakuaje chokambaya? Mvivu huyo achana nae
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeeeh mwanamke kaumbwa kupokea sio kutoa hiyo ni nature.....mbona vijana wa sasa mnapenda kushindana na wanawake mnafeli wapi????Je ikitokea na wewe umemaliza kusomeshwa then unaamua kumuacha,je anaruhusiwa kukuuwa?
Hivi wewe unafikiri sisi wote tusio na hela hatujitumi? Yaani wavivu?Na fursa zote duniani mwanaume anakuaje chokambaya? Mvivu huyo achana nae
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe kuna wanawake humu wana-date na akina sisi choka mbaya!Uzi wa pili huu
Sawa mkuu wacha nimn'gan'ganie huyu choka mbaya wangu.
Wapo watu hadi wanazeeka ni choka mbaya tu....umri si issueKwa umri wangu na lifestyle yangu kumpata anaeanza kutafuta sio rahisi.. Acha niendelee kuwashikilia tu hawa ambao wameshaanza kupiga hatua tayari maana hamna jinsi nitakutana na mwanaume anaanza moja kabisa labda awe amefilisika.
Sent using Jamii Forums mobile app
aliwahi kuniambia mpenzi wangu kuwa tumetoka mbali naomba matunda ya taabu yetu asifaidi mwingine zaidi yangu na wewe (mimi)Wadada wengi wanapenda kuwa na wapenzi ambao wako vizuri kiuchumi,bila kujua kuna aliyetaabika au kuvumilia na kumtengeneza huyo muhusika na kuonekana machoni mwao.
Kufanya hivyo ni utapeli na kutomtendea haki 'the founder'.
Nawashauri dada zangu, tafuteni chokambaya umtengeneze na baadaye ule matunda halali ya nguvu zako au uvumilivu wako.
lakini ni ushauri mzuri mmepewa, usiendelee kujibanza kwenye vibaraza vya wenyewe bali jitahidi ufyeke pori ujenge nyumba yako kabisaKwa umri wangu na lifestyle yangu kumpata anaeanza kutafuta sio rahisi.. Acha niendelee kuwashikilia tu hawa ambao wameshaanza kupiga hatua tayari maana hamna jinsi nitakutana na mwanaume anaanza moja kabisa labda awe amefilisika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hivyo sawa... ngoja nione nitakaempenda next kama hana nitasaidiana naeWapo watu hadi wanazeeka ni choka mbaya tu....umri si issue
Ikitokea hivyo ujue shetani amepitaukishamtengeneza akapendeza anakuona wa hovyo,, siyo type yake anahamia kwa mchepuko. Choka mbaya wanachosha.
Inabidi kuwakumbuka katika sala zakoNyie nyie wanaume labda asiewajua,, mtu una majukumu lukuki lakini bado mnatupa ndoano pande nyingine.......saiv naishi na nyie kwa huruma tu pale mlipotokea nadhani kuna kitu mnakiachaga labda
Sent using Jamii Forums mobile app
This is just an excuseIkitokea hivyo ujue shetani amepita
ha ha ha ha wanaume wanapitia majaribu mengi sana....ni vizuri muwaombee.Kwa sababu yeye akimuona mtoto mzuri tu lazima moyo wake ushtuke ni tofauti na nyie mpaka mpeleke hisia.This is just an excuse
Huyo shetani amekuwa excuse yenu mkifanya ujinga!