Wadada taratibu jamani

Wadada taratibu jamani

k zinaungwa siku hizi hatarii,team chukuchuku vs team maungo...bado kutia viungo vya pilau tu duh
 
Haaa kuna mwingine aliomba msaada aliweka hiko kistick ili kubana K.. matokeo yake K ikaziba kabisa
Sijui alipata msaada stahiki
Hahahaha umenifanya nicheke,tell me, vipi wewe dear what do you do to make aman stay and love you indeed...... No artificial made ama...
 
Kuna baadhi ya wadada wanatumia mbinu za kuhadaa wapenzi wao ambazo zinahatarisha afya zao! wadada hawa wanatumia 'kistic' kipo kama chaki wanaingiza ukeni na kinayeyuka kidogo kidogo huwekwa kabla ya tendo la ndoa kinakausha maji ukeni na kuongeza joto la hatari.huondolewa baada ya mda na kinaweza kutumika hata mpaka miezi sita.yote hiyo ni katika kuhakikisha wanapagawisha wanaume!

wengine wanatumia kitu inaitwa SHABU ili aonekane mwali(hajatumika) akiwa na mwanaume wake! ndo wale wanajifanya wewe ndio first to none!

Wengine hutumia mchanganyiko wa viungo kama asali,majani ya mbaazi na binzari nyembamba! kisha wanatumbukiza kwenye papuchi,Hataree.

Tatizo lililopo hawajari kama wanaweza pata magonjwa kama saratani n.k na kuleta janga kwa ndugu zao,wapenzi wao na Taifa! wadada taratibu.ukipendwa umependwa tu.mimi nikigundua unafanya ujinga huo nakumwaga fasta.sipendi mbunye artificial mazafanta.
Hadi bangi mkuu wanaweka ukeni, wanaivutisha k bangi ili iwe mnato.......
 
Hahahaha bob luse kazi tunayo mkuu thread yako ndo imezidi kuwafundisha, kuwapa hamasa,kuzidisha utomaso na kuamsha walio lala baada ya kuwaelimisha....kwa uchangiaji wa namna hii ni dhahiri papuchi mhmh.....
 
Hahahaha bob luse kazi tunayo mkuu thread yako ndo imezidi kuwafundisha, kuwapa hamasa,kuzidisha utomaso na kuamsha walio lala baada ya kuwaelimisha....kwa uchangiaji wa namna hii ni dhahiri papuchi mhmh.....
sikujua kama kuna wanaopata maujuzi hapa! Mweh mademu wana sheedah.wanajaribu hata visivyostahiri mradi watudhibiti.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom