Wadada tafuteni mbegu nzuri

Wadada tafuteni mbegu nzuri

Kuanza muweka mtoto katika ligi za kijinga kama hizi ni kukosa busara...Tuwaache watoto jamani tukumbuke hata sisi tumepoitia stage ya utoto..

Unakumbuka sura yako ulivyozaliwa ilikuaje?? tuwaache watoto tafadhali Wekeni ligi kote ila watoto Waacheni pls.

Watu wanatafuta hao watoto wenye sura za wazeee hawa wapati leo hii kisa wewe una watoto unaanza kuleta mada za ajabu..Pls acheni watoto watulie..endeleeni na pombe zenu ila watoto waachwe.
 
Nonsense... Mtoto atakula sura?
ha ha ha ha ukiona mtu anatoa mimba ya mtu,jua hajarizika na product iliyopo;ukiwa na product nzuri unatamani muda wote umbebe na unakuwa na ujasiri wa kusema huyu ni mtoto wangu
 
Back
Top Bottom